demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Mkwasa aliomba kila shabiki wa yanga, achangie japo 500 tu kila mwezi,zoezi limefikia wapi?
Ingawa zoezi halikiwa endelevu....Yanga waliweza kamata Mil 451 ndani ya miezi 2.
Nyinyi mnamsubiri MO atoe Mil 100. Mpaka akaifananisha Simba SC kama MWANAMKE asiye na shukrani. "Unakumbuka?"