Asante sana mkuu kwa kuweka rekodi sawaUmesahau kupunguza 39m ya FIFA kupata ubingwa wa mezani
39m fifa zimeliwa kwa sababu ya umbumbumbu wenuKushika nafasi ya pili tena tofauti ya magoli ni bora kuliko kuwa BINGWA kwa MSAADA wa JAZA UJAZWE..
Haina impact yoyote kwani bingwa tayari kwa sasa ni YangaNgoja tuweke na kapicha
Ndiyo maana kila mtanzania anaipenda yangaYanga inaendeshwa kisayansi zaidi kwasasa hapa Tz
Hakuna maneno maneno hii timu naipenda sana
Kwani kuna neno BINGWA hapo? Mimi nimesema niweke kapicha kidogo...MAPOVU ya nn?kwn UBINGWA wa MAKUBAZI FC...ilihali kila SIKU mnyama fc.... Anakulalia....una raha gn?hivi mtu akupe 82 milions... Ushangilie KAMA HAYAWANI... kuliko aliye pata 92 milions.... Kweli NYIE MGONGO WAZI FC....Haina impact yoyote kwani bingwa tayari kwa sasa ni Yanga
Ukiwa mbumbumbu utaendeleaKwani kuna neno BINGWA hapo? Mimi nimesema niweke kapicha kidogo...MAPOVU ya nn?kwn UBINGWA wa MAKUBAZI FC...ilihali kila SIKU mnyama fc.... Anakulalia....una raha gn?hivi mtu akupe 82 milions... Ushangilie KAMA HAYAWANI... kuliko aliye pata 92 milions.... Kweli NYIE MGONGO WAZI FC....
Ni kwl yanga ni timu ya wanainchi....ndy maana hata JENGO MMEPEWA BURE...Ndiyo maana kila mtanzania anaipenda yanga
Mbumbumbu ni yule anayempigia Magoti TEJA LA KIHINDI....Ukiwa mbumbumbu utaendelea
By mwenyekiti wenu mstaafu
Teja la Kihindi limekukosesha UBINGWA kwa muda wa miaka 5.Mbumbumbu ni yule anayempigia Magoti TEJA LA KIHINDI....
Si ndy maana mnampigia magoti?Teja la Kihindi limekukosesha UBINGWA kwa muda wa miaka 5.