Kamati ya usajili ya timu ya Yanga imekaa kupanga mikakati ya usajili.

Yanga inaendeshwa kisayansi zaidi kwasasa hapa Tz
Hakuna maneno maneno hii timu naipenda sana
 
Ngoja tuweke na kapicha
98932bd1242221eb78f4a4fefed33acb.jpg
7d298e4cfb8d642e61bfe4bc1d08a60d.jpg
Haina impact yoyote kwani bingwa tayari kwa sasa ni Yanga
 
Ukiwa Yanga Full Burudani
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Haina impact yoyote kwani bingwa tayari kwa sasa ni Yanga
Kwani kuna neno BINGWA hapo? Mimi nimesema niweke kapicha kidogo...MAPOVU ya nn?kwn UBINGWA wa MAKUBAZI FC...ilihali kila SIKU mnyama fc.... Anakulalia....una raha gn?hivi mtu akupe 82 milions... Ushangilie KAMA HAYAWANI... kuliko aliye pata 92 milions.... Kweli NYIE MGONGO WAZI FC....
 
Ukiwa mbumbumbu utaendelea
By mwenyekiti wenu mstaafu
 
Back
Top Bottom