Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kamati ya Ushauri (RCC) ya Mkoa wa Rukwa imeridhia kugawanywa kwa Jimbo la Uchaguzi la Kwela lililoko Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika kikao chake maalum kilichofanyika katika Ukumbi wa RDC ulioko katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa leo tarehe 14 Machi 2025, Kamati hiyo imepokea kujadili na kuridhia kuendelea kwa mchakato wa kuligawa jimbo hilo ambalo kwa sasa linaongozwa na Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Mheshimiwa Deus Clement Sangu.