Katika kikao chake maalum kilichofanyika katika Ukumbi wa RDC ulioko katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa leo tarehe 14 Machi 2025, Kamati hiyo imepokea kujadili na kuridhia kuendelea kwa mchakato wa kuligawa jimbo hilo ambalo kwa sasa linaongozwa na Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Mheshimiwa Deus Clement Sangu.