Kamati ya waamuzi inayoongozwa na Hamdun Nassor ivunjwe-wanasheria

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
BAADA YA MAKELELE MENGI

MWENYEKITI NASSORO HAMDUN WA KAMATI YA WAAMUZI TFF AMESEMA ANASIKIA TU HAJAPOKEA RIPOTI YA MECHI YA SIMBA VS NAMUNGO

BILA AIBU MPAKA SASA HUJAPOKEA MECHI YA SIMBA NA SHERIA XINAKUTAKA UIPOKEE NDAN YA MASAA MANGAPI

AKAKATA SIMU

AMEOMBA WANANCHI KUWA WATULIVU AKIPOKEA ATAIFANYIA KAZI ATAITA WAANDISHI

HAYA YA KIENDELEA WANASHERIA KADHAA WAMEOMBA KAMATI YA WAAMUZI TFF IIVUNJWE HIO NDIO SULUHISHO NA BAADHI YA WAAMUZI WAKAE NJE KABISA YA TFF MPAKA WATAKAPOKUFA

SRC
MAGAZETI YA LEO
CHANNEL TEN
 
Munawandika humu vizuri kabisa lakini wenzenu wanaweka pamba masikioni, hawa wanatakiwa wapigwe mboko je ni kweli TFF wanarudisha ligi yetu nyuma

There are taking things for granted
 
Huyo mwenyekiti atakuwa na yeye ni kilaza tu kama ilivyo kwa waamuzi wake wengi vilaza wanaotuharibia mpira wetu kila siku kupitia maamuzi yao mengi ya kijinga.
HUyu alikuwa anapiga pesa sana enzi za gulamali weeeewee hafaik
 
Yote haya kayataka GSM kudhamini timu saba na kutoa motisha kwa timu zinazocheza na Simba ili zikamie mechi matokeo yake wanacheza rafu kwenye boksi marefa wakifunika Utopolo wanakuja kulalamika JF.
Huku tunatakiwa tutoke, sisi wote tuna mahaba na timu zetu. Lakini kwa hali ilipofikia tutumie akili zaidi kuliko Mapenzi na hisia
 
Sasa tumeanza kuongea lugha moja.Walipolalamika upande mwingine goli kuwa kona,penalti nje ya box, goli la mkono,Kayoko kumeza penalti 3 na goli kukubaliwa hali mpira ukiwa umeshatoka nje, mliwapuuza na kuwaita walalamishi.
Wenzenu nao wameanza kampeni hizo hizo akili imewarudia mnataka sasa kamati ivunje na mpira uamuliwe kwa haki.
Usitupe mawe ukiishi kwenye nyumba ya vioo.Ukianza na wewe kutupiwa mawe ndio ukweli na haki zinapokimbiliwa.
 
Huyo mwenyekiti atakuwa na yeye ni kilaza tu kama ilivyo kwa waamuzi wake wengi vilaza wanaotuharibia mpira wetu kila siku kupitia maamuzi yao mengi ya kijinga.
Watanzania wanajifanya wanajua kila kitu. Marefariis ni profeshenoos wanesomea kazi yao na kuhitimu kwa kiwango cha juu na wanafanya maamuzi yao kama profeshenoos.

Nyie mlisomea wapi urefarii?
 
BAADA YA MAKELELE MENGI

MWENYEKITI NASSORO HAMDUN WA KAMATI YA WAAMUZI TFF AMESEMA ANASIKIA TU HAJAPOKEA RIPOTI YA MECHI YA SIMBA VS NAMUNGO

BILA AIBU MPAKA SASA HUJAPOKEA MECHI YA SIMBA NA SHERIA XINAKUTAKA UIPOKEE NDAN YA MASAA MANGAPI

AKAKATA SIMU

AMEOMBA WANANCHI KUWA WATULIVU AKIPOKEA ATAIFANYIA KAZI ATAITA WAANDISHI

HAYA YA KIENDELEA WANASHERIA KADHAA WAMEOMBA KAMATI YA WAAMUZI TFF IIVUNJWE HIO NDIO SULUHISHO NA BAADHI YA WAAMUZI WAKAE NJE KABISA YA TFF MPAKA WATAKAPOKUFA

SRC
MAGAZETI YA LEO
CHANNEL TEN
Waamuzi tunawaonea tu kwani wanapewa maagizo na vigogo wa TFF
 
TFF, Bodi ya ligi na kamati wote hao wanajua wanachokifanya kwenye kutengeneza mazingira ya kuzisaidia Timu zao kongwe hakuna majibu sahihi utayapata kutoka kwao..
Kwa waamuzi ni simba tu,mechi za Simba marefa wenye heshima hawachezeshi,arajiga hajachezesha mechi yoyote ya simba
 
TFF na bodi yao ya masaa 72 wamefuta ile kadi nyekundu tukiwaambia kuwa ni mipango yao wanakua wabishi.
 
Kama korapsheni ipo ndani ya soka,Takukuru wanalipwa mishahara kwa kazi gani?
Kama CAG huibua ufisadi, tume za kuchunguza huo ufisadi huundwa nyuma ya camera majibu ya hizo tume nyuma ya pazia, vile vile Takukuru huwa wanqkuwepo hizo tume zinapo undwa lakini mafisadi wanaendelea kuwepo kwasababu ufisadi Kila mwaka huibuliwa na CAG

Swali je Takukuru ina mipaka ya kufanya kazi

Na mimi nauliza kwanini walipwe mishahara kwasababu ofisi za Takukuru zipo Kila mkoa
 
Hilo swali mbona huwa hamuulizi Rais wenu. Au mlimchagua ili mumsifie tu?
Waziri anafisadi Trn 1.7 mmekaa kimya, mnachekelea refari katoa penalti tatu za halali povu kama lote nchi nzima
 
Back
Top Bottom