Kamati ya waamuzi inayoongozwa na Hamdun Nassor ivunjwe-wanasheria

Kamati ya waamuzi inayoongozwa na Hamdun Nassor ivunjwe-wanasheria

Hilo swali mbona huwa hamuulizi Rais wenu. Au mlimchagua ili mumsifie tu?
Waziri anafisadi Trn 1.7 mmekaa kimya, mnachekelea refari katoa penalti tatu za halali povu kama lote nchi nzima
Tunaishi kwenye jamii ya bora liende jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi pia unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe
 
BAADA YA MAKELELE MENGI

MWENYEKITI NASSORO HAMDUN WA KAMATI YA WAAMUZI TFF AMESEMA ANASIKIA TU HAJAPOKEA RIPOTI YA MECHI YA SIMBA VS NAMUNGO

BILA AIBU MPAKA SASA HUJAPOKEA MECHI YA SIMBA NA SHERIA XINAKUTAKA UIPOKEE NDAN YA MASAA MANGAPI

AKAKATA SIMU

AMEOMBA WANANCHI KUWA WATULIVU AKIPOKEA ATAIFANYIA KAZI ATAITA WAANDISHI

HAYA YA KIENDELEA WANASHERIA KADHAA WAMEOMBA KAMATI YA WAAMUZI TFF IIVUNJWE HIO NDIO SULUHISHO NA BAADHI YA WAAMUZI WAKAE NJE KABISA YA TFF MPAKA WATAKAPOKUFA

SRC
MAGAZETI YA LEO
CHANNEL TEN
Tatizo lipo kwa mwenyekiti wa tff kuendekeza ushabiki na mapenzi yake binafsi kwa paka yule
 
BAADA YA MAKELELE MENGI

MWENYEKITI NASSORO HAMDUN WA KAMATI YA WAAMUZI TFF AMESEMA ANASIKIA TU HAJAPOKEA RIPOTI YA MECHI YA SIMBA VS NAMUNGO

BILA AIBU MPAKA SASA HUJAPOKEA MECHI YA SIMBA NA SHERIA XINAKUTAKA UIPOKEE NDAN YA MASAA MANGAPI

AKAKATA SIMU

AMEOMBA WANANCHI KUWA WATULIVU AKIPOKEA ATAIFANYIA KAZI ATAITA WAANDISHI

HAYA YA KIENDELEA WANASHERIA KADHAA WAMEOMBA KAMATI YA WAAMUZI TFF IIVUNJWE HIO NDIO SULUHISHO NA BAADHI YA WAAMUZI WAKAE NJE KABISA YA TFF MPAKA WATAKAPOKUFA

SRC
MAGAZETI YA LEO
CHANNEL TEN
Hakuna kamati kuvunjwa ubaya ubwela mpaka kwao
 
Kayoko yupo anachezesha mechi za ligi ya mkoa wa dar

Week kama mbili nilikuwepo uwanjani kushuhudia mechi kati ya friends ranger na barbelian
Yeye ndio aliochezesha
Kwanini huyo Kayoko hafungiwi moja kwa moja kujihusisha na haya mambo ya mpira
 
Back
Top Bottom