Munawandika humu vizuri kabisa lakini wenzenu wanaweka pamba masikioni, hawa wanatakiwa wapigwe mboko je ni kweli TFF wanarudisha ligi yetu nyumaBAADA YA MAKELELE MENGI
MWENYEKITI NASSORO HAMDUN WA KAMATI YA WAAMUZI TFF AMESEMA ANASIKIA TU HAJAPOKEA RIPOTI YA MECHI YA SIMBA VS NAMUNGO
BILA AIBU MPAKA SASA HUJAPOKEA MECHI YA SIMBA NA SHERIA XINAKUTAKA UIPOKEE NDAN YA MASAA MANGAPI
AKAKATA SIMU
AMEOMBA WANANCHI KUWA WATULIVU AKIPOKEA ATAIFANYIA KAZI ATAITA WAANDISHI
HAYA YA KIENDELEA WANASHERIA KADHAA WAMEOMBA KAMATI YA WAAMUZI TFF IIVUNJWE HIO NDIO SULUHISHO NA BAADHI YA WAAMUZI WAKAE NJE KABISA YA TFF MPAKA WATAKAPOKUFA
SRC
MAGAZETI YA LEO
CHANNEL TEN
Huku tunatakiwa tutoke, sisi wote tuna mahaba na timu zetu. Lakini kwa hali ilipofikia tutumie akili zaidi kuliko Mapenzi na hisiaYote haya kayataka GSM kudhamini timu saba na kutoa motisha kwa timu zinazocheza na Simba ili zikamie mechi matokeo yake wanacheza rafu kwenye boksi marefa wakifunika Utopolo wanakuja kulalamika JF.
Watanzania wanajifanya wanajua kila kitu. Marefariis ni profeshenoos wanesomea kazi yao na kuhitimu kwa kiwango cha juu na wanafanya maamuzi yao kama profeshenoos.Huyo mwenyekiti atakuwa na yeye ni kilaza tu kama ilivyo kwa waamuzi wake wengi vilaza wanaotuharibia mpira wetu kila siku kupitia maamuzi yao mengi ya kijinga.
Kuna baadhi wamesomaWatanzania wanajifanya wanajua kila kitu. Marefariis ni profeshenoos wanesomea kazi yao na kuhitimu kwa kiwango cha juu na wanafanya maamuzi yao kama profeshenoos.
Nyie mlisomea wapi urefarii?
Waamuzi tunawaonea tu kwani wanapewa maagizo na vigogo wa TFFBAADA YA MAKELELE MENGI
MWENYEKITI NASSORO HAMDUN WA KAMATI YA WAAMUZI TFF AMESEMA ANASIKIA TU HAJAPOKEA RIPOTI YA MECHI YA SIMBA VS NAMUNGO
BILA AIBU MPAKA SASA HUJAPOKEA MECHI YA SIMBA NA SHERIA XINAKUTAKA UIPOKEE NDAN YA MASAA MANGAPI
AKAKATA SIMU
AMEOMBA WANANCHI KUWA WATULIVU AKIPOKEA ATAIFANYIA KAZI ATAITA WAANDISHI
HAYA YA KIENDELEA WANASHERIA KADHAA WAMEOMBA KAMATI YA WAAMUZI TFF IIVUNJWE HIO NDIO SULUHISHO NA BAADHI YA WAAMUZI WAKAE NJE KABISA YA TFF MPAKA WATAKAPOKUFA
SRC
MAGAZETI YA LEO
CHANNEL TEN
Yes they are professionals, hope not corruptWatanzania wanajifanya wanajua kila kitu. Marefariis ni profeshenoos wanesomea kazi yao na kuhitimu kwa kiwango cha juu na wanafanya maamuzi yao kama profeshenoos.
Nyie mlisomea wapi urefarii?
Kwa waamuzi ni simba tu,mechi za Simba marefa wenye heshima hawachezeshi,arajiga hajachezesha mechi yoyote ya simbaTFF, Bodi ya ligi na kamati wote hao wanajua wanachokifanya kwenye kutengeneza mazingira ya kuzisaidia Timu zao kongwe hakuna majibu sahihi utayapata kutoka kwao..
Yes they are professionals, hope not corrupt
Kama CAG huibua ufisadi, tume za kuchunguza huo ufisadi huundwa nyuma ya camera majibu ya hizo tume nyuma ya pazia, vile vile Takukuru huwa wanqkuwepo hizo tume zinapo undwa lakini mafisadi wanaendelea kuwepo kwasababu ufisadi Kila mwaka huibuliwa na CAGKama korapsheni ipo ndani ya soka,Takukuru wanalipwa mishahara kwa kazi gani?
Hilo swali mbona huwa hamuulizi Rais wenu. Au mlimchagua ili mumsifie tu?Kama CAG huibua ufisadi, tume za kuchunguza huo ufisadi huundwa nyuma ya camera majibu ya hizo tume nyuma ya pazia, vile vile Takukuru huwa wanqkuwepo hizo tume zinapo undwa lakini mafisadi wanaendelea kuwepo kwasababu ufisadi Kila mwaka huibuliwa na CAG
Swali je Takukuru ina mipaka ya kufanya kazi
Na mimi nauliza kwanini walipwe mishahara kwasababu ofisi za Takukuru zipo Kila mkoa