Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Tunaishi kwenye jamii ya bora liende jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi pia unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka weweHilo swali mbona huwa hamuulizi Rais wenu. Au mlimchagua ili mumsifie tu?
Waziri anafisadi Trn 1.7 mmekaa kimya, mnachekelea refari katoa penalti tatu za halali povu kama lote nchi nzima
Tatizo lipo kwa mwenyekiti wa tff kuendekeza ushabiki na mapenzi yake binafsi kwa paka yuleBAADA YA MAKELELE MENGI
MWENYEKITI NASSORO HAMDUN WA KAMATI YA WAAMUZI TFF AMESEMA ANASIKIA TU HAJAPOKEA RIPOTI YA MECHI YA SIMBA VS NAMUNGO
BILA AIBU MPAKA SASA HUJAPOKEA MECHI YA SIMBA NA SHERIA XINAKUTAKA UIPOKEE NDAN YA MASAA MANGAPI
AKAKATA SIMU
AMEOMBA WANANCHI KUWA WATULIVU AKIPOKEA ATAIFANYIA KAZI ATAITA WAANDISHI
HAYA YA KIENDELEA WANASHERIA KADHAA WAMEOMBA KAMATI YA WAAMUZI TFF IIVUNJWE HIO NDIO SULUHISHO NA BAADHI YA WAAMUZI WAKAE NJE KABISA YA TFF MPAKA WATAKAPOKUFA
SRC
MAGAZETI YA LEO
CHANNEL TEN
Hakuna kamati kuvunjwa ubaya ubwela mpaka kwaoBAADA YA MAKELELE MENGI
MWENYEKITI NASSORO HAMDUN WA KAMATI YA WAAMUZI TFF AMESEMA ANASIKIA TU HAJAPOKEA RIPOTI YA MECHI YA SIMBA VS NAMUNGO
BILA AIBU MPAKA SASA HUJAPOKEA MECHI YA SIMBA NA SHERIA XINAKUTAKA UIPOKEE NDAN YA MASAA MANGAPI
AKAKATA SIMU
AMEOMBA WANANCHI KUWA WATULIVU AKIPOKEA ATAIFANYIA KAZI ATAITA WAANDISHI
HAYA YA KIENDELEA WANASHERIA KADHAA WAMEOMBA KAMATI YA WAAMUZI TFF IIVUNJWE HIO NDIO SULUHISHO NA BAADHI YA WAAMUZI WAKAE NJE KABISA YA TFF MPAKA WATAKAPOKUFA
SRC
MAGAZETI YA LEO
CHANNEL TEN
Kayoko yupo anachezesha mechi za ligi ya mkoa wa darMpaka Sasa zaidi ya Kayoko kutopangiwa mechi haijulikani kapewa adhabu gani.
Kwanini huyo Kayoko hafungiwi moja kwa moja kujihusisha na haya mambo ya mpiraKayoko yupo anachezesha mechi za ligi ya mkoa wa dar
Week kama mbili nilikuwepo uwanjani kushuhudia mechi kati ya friends ranger na barbelian
Yeye ndio aliochezesha