Kamati za maafa Wilaya na Mikoa

Kamati za maafa Wilaya na Mikoa

Alexmugisha

New Member
Joined
May 8, 2024
Posts
3
Reaction score
1
Kutokana na sakata la mafuriko linaloendelea nchini tanzania mfano Manyara, Kagera pamoja na sehemu nyingine sijajua kama kamati za maafa zinajurikana na kwenye bajeti ya serikali sjui kama wanaweka kipaumbele kuhusu suala hili.

Tanzania kwenye preperation tukoje? au tunasblia maafa yatokee ndo tuanze kutafuta mchawi nani.

Pia nashangaa hizi kozi za disaster management zimewekwa kwa malengo gani kama wahitimu hawatumiki?

Serikali iliangalie hili tupunguze matumizi ya gharama baada ya majanga.
 
Back
Top Bottom