Kumiliki silaha ni jambo ambalo linahitaji mchakato makini hasa katika nchi yetu.
Pamoja na umakini huo bado nashindwa kuelewa inakuwaje kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa iskae kujadili waomba umiliki wa silaha kwa zaidi ya miaka minne.Watu wanaopewa nyadhifa kubwa security vetting inafanyika haraka mno.
Watendeeni haki watu ambao pesa zao zipo locked kwa wauza silaha.