Kweli kabisa sasa wamegeuka miungu watu kupitisha vibali....usumbufu mkubwa sanaaaaKumiliki silaha ni jambo ambalo linahitaji mchakato makini hasa katika nchi yetu.Pamoja na umakini huo bado nashindwa kuelewa inakuwaje kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa iskae kujadili waomba umiliki wa silaha kwa zaidi ya miaka minne.Watu wanaopewa nyadhifa kubwa security vetting inafanyika haraka mno.
Watendeeni haki watu ambao pesa zao zipo locked kwa wauza silaha.
Duh, nilifikiri hili jambo lipo mkoa wetu tu, kumbe ni janga la mikoa mingi, unanunua silaha mpaka inapita miaka 4 kamati za ulinzi hazijafanya kitu.Unaweza kuwaza kwamba labda wajumbe wa kamati hizi wanataka chochote.Kuna umuhimu wa kumulika hapaKumiliki silaha ni jambo ambalo linahitaji mchakato makini hasa katika nchi yetu.Pamoja na umakini huo bado nashindwa kuelewa inakuwaje kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa iskae kujadili waomba umiliki wa silaha kwa zaidi ya miaka minne.Watu wanaopewa nyadhifa kubwa security vetting inafanyika haraka mno.
Watendeeni haki watu ambao pesa zao zipo locked kwa wauza silaha.
Na kuondoa huu urasimu wanasiasa waondolewe kwenye hizi kamati,hili ni jambo la kitaalamu na once ukiwa na ripoti ya Doctor kuwa upo na akili safi ya kimiliki silaha na police wakikupa ripoti safi kama huna criminal record unalenga kituo cha polisi kuomba kumiliki silaha,elewa police ni lazima wafike kwenye address yako ili waone kama you have a safe place ya kuhifadhi silaha yako.Duh, nilifikiri hili jambo lipo mkoa wetu tu, kumbe ni janga la mikoa mingi, unanunua silaha mpaka inapita miaka 4 kamati za ulinzi hazijafanya kitu.Unaweza kuwaza kwamba labda wajumbe wa kamati hizi wanataka chochote.Kuna umuhimu wa kumulika hapa
Wana mamlaka ya kukupa au kutokupa,waitumie hiyo nafasi kwani kukaa na pesa za mtu 1.4milion kwa miaka minne bila sababu ya msingi si haki!Duh, nilifikiri hili jambo lipo mkoa wetu tu, kumbe ni janga la mikoa mingi, unanunua silaha mpaka inapita miaka 4 kamati za ulinzi hazijafanya kitu.Unaweza kuwaza kwamba labda wajumbe wa kamati hizi wanataka chochote.Kuna umuhimu wa kumulika hapa
Hujawahi kupigwa tu weweSilaha yetu msalaba tu hizo nyingine mbwembwe tu