Kamati za Usalama za Wilaya ni watuhumiwa Wasiojulikana

Kamati za Usalama za Wilaya ni watuhumiwa Wasiojulikana

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
26,483
Reaction score
40,130
Umofia kwenu

Nisiwachukulie muda, tazama na sikiliza hii video




Tulishawasanua awali kuwa matukio yote ya utekaji, utesaji, ufiraji na mauaji huratibiwa na Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya na Mikoa

Moja ya ushahidi ndo huo hapo juu
 
Umofia kwenu.
Nisiwachukulie muda, tazama na sikiliza hii video


View attachment 3651630

Tulishaeasanua awali kuwa matukio yote ya utekaji, utesaji, ufiraji na mauaji huratibiwa na Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya na Mikoa....

Moja ya ushahidi ndo huo hapo juu
Kile kijamaa ni cha kuondoka nacho mlalo. Ni moja ya watu wasiojulikana na vile ni Ki-TISS basi kinaona kimemaliza maisha.
 
Mimi binafsi simuelewagi DC Magoti acha laana zimfuate wameshaona vyeo vya kupewa vinawapa kiburi ana maneno makali huwezi kuita watu panya yeye hajioni anakuaje kiongozi na hana sifa za uongozi
 
Pumbavu kabisa nyie wananchi what a ***, watanzania magoti ana ulinzi gani??? Mnashindwa kumalizana na huyo kibaka, yaani jitu likiwa kwenye V8 barabarani mnashindwa kurusha ata mshale ,najua mshale ata ukimkosa atakuwa na adabu
 
9097475A-6F7A-433D-99F1-61F68F447E01.jpeg

😁😁
 
Mada zangu mtazikumbuka.Uweni tu si mnawajua .msipo fanya hivyo mtafatwa kila kona ndio wamefikia hapo.
 
Mambo ya ajabu kabisa, serikali ya hovyo sana hii,solution ni kuwaondoa CCM na katiba mpya
 
Back
Top Bottom