KAMBA ALIOTUMIA MTU KUJINYONGA

KAMBA ALIOTUMIA MTU KUJINYONGA

KUDOLE CHA MWISHO

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2017
Posts
407
Reaction score
892
Habari wakuu! Matumani yangu mpo poa kabisa.

Kwanza kabisa nimekuta na mambo mawili ya ajabu hapa duniani

Jambo la kwanza.
KUMEKUWA NA UHITAJI WA PAKA MWEUPE ASIYE NA DOA (Bei yake ilikuwa 3.5 M )

Jambo la pili .

KAMBA IYOTUMIKA AU ALIOTUMIA MTU MWENYEWE KUJINYONGA (Bei naambiwa milioni 500)

Zaidi jinsi ya kutest kama yenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

€ Unachukua hyo kamba unaendea kujaribu kutumbukiza choo cha shimo kinachotumika ( ikirude yenyewe basi ipo poa)

€ kufukia chini[emoji23][emoji23][emoji23]
Unachimba mfereji unafukia hiyo kamba ikiwa imenyooka!! Ila wanakushauri usiwe karibu naye!! Ikija juu ya udongo basi hyo ni Original

€ lazima isiwe imekatwa.


Sasa nimekaa kujiuliza hv vitu ni kwl au

Wadau embu tuelezani ukweli wa mambo hayaa!! Ili tufumbuane coz pengine kuna siri ambayo hatujui
 
Umepewa dili na mganga nini mkuu! Sasa nikupe dili nitafutie unyayo wa marehem dau 200milion ukipata ni pm
 
USHIRIKINA JAMANI ACHANAENI NAO KABISA
WENGI WANAISHI KWA IMANI HIZI, WANATAFUTA MAFANIKIO KWA IMANI HIZI HIZI TU! MAAGANO YASIYO KOMA, IAMBIE NAFSI YAKO SITA TUMIA USHIRIKINA KUTAFUTA MAFANIKIO HAPA DUNIANI. IKATAZE ROHO NAAMINI TUTASHINDA
 
Back
Top Bottom