SoC03 Kamba ya mbali haifungi mzigo

SoC03 Kamba ya mbali haifungi mzigo

Stories of Change - 2023 Competition
Joined
Jul 22, 2022
Posts
20
Reaction score
38
Siku zote wahenga husema kamba ya mbali haiwezi kufunga mzigo na fimbo ya mbali haiwezI kuua nyoka, Vijana wengi hasa wa wakulima na vijana wa maskini hupata shida sana katika utafutaji wa ajira. Utakuta wazazi wamepambana kumsomesha kijana wao kwa kuuza mazao shambani na wengine hata kuuza mashamba yao ilimradi kijana wao apate nafasi ya kusoma mwisho wa siku apate kazi, lakini wakati wa sasa mambo yamekuwa ndivyo sivyo bila kuwa na mtu umjuaye upatikanaji wa kazi kwako utakuwa ni kipengele, utakuta kijana yeye kwao ndio wa kwanza kusoma na kufika chuo na kumaliza wazazi hapo wanategemea kijana wao baada ya kumaliza chuo ndio atakuwa mkombozi wa familia lakini badala yake kijana anakosa ajira na kuangusha tumaini aliloweka kwa wazazi wake.

Sasa unategemea kijana ambaye ametoka kwa wazazi wakulima,wazazi maskini,yeye ndio kwao wa kwanza kusoma na kufika chuo atakuwa (connection) au mtu amjuaye wa kumshika mkono, wakati walio juu huwanyanyua wa juu wenzao au walioshika nafasi huwashika ndugu zao kwanza halafu watoto wakulima na maskini ndio hufuata au hukosa kabisa.

Kunapaswa kuwepo na utaratibu mnzuri katika janja hii ama sivyo tatizo hili litakithiri zaidi, wahusika katika masuala ya kuajiri wanapaswa kuangalia vigezo na uwezo wa mtu na siyo huyu na mjua nampa huyu simjui namnyima hapana vigezo na uwezo wa mtu ndiyo viamue mtu apate kazi na siyo kujuana (connection).

Pia uzoefu kazini kisiwe kigezo kikubwa cha mtu kupata kazi maana utakuta kijana amemaliza chuo baada ya muda mfupi ajira zimetoka na wanaohitajika ni watu wenye uzoefu wa miaka 3,4,5 hadi 10 sasa kijana kama huyo ndiyo kwanza anatoka chuo huo uzoefu wa miaka hiyo anautolea wapi ?

Wakati mwingine uzoefu wa kazi mtu huupata akishapata kazi kwa kujifunza kwa wengine waliotangulia namna ya ufanywaji wa kazi na bidii za mtu binafsi,maana unaweza kumnyima nafasi huyu asiye na uzoefu ukampatia mwenye uzoefu na bado akaharibu kazi.

Kinachohitajika ni kuwa na imani na mtu maana hakuna mtu aliyezaliwa anajua kila kitu,kila kitu tunajifunza kila siku kutoka kwa waliotutangulia na wenye uwezo zaidi yetu, hivyo hiki kigezo cha uzoefu waajiri wasiweke kama kigezo kikubwa cha mtu kupata kazi,wangalie uwezo alionao mtu lakini pia vijana msirushe zaidi mawe kwa waajiri na serikali wakati mwingine mnapaswa kujiongeza maana kama wote mkitaka kuajiriwa wengine wataajiriwa na nani? Maana hata wewe sasa hivi unaweza kuwa muajiri wa watu wengi tu ni wewe tu kufanya maamuzi,sema vijana wengi wanaogopa kujaribu kwa kuogopa kushindwa watu wengi maarufu waliofanikiwa walijaribu na walishindwa mara nyingi lakini hawakukata tamaa walipambana mpaka hatua ya mwisho leo hii ni wamiliki wa makampuni makubwa duniani.

Kutoka katika chanzo cha habari cha globalpublisher.cotz>Burudani "nikianza na Kenny Troutt ni tajiri mkubwa wa Marekani mwenye utajiri zaidi ya sh trillioni 2 hakuzaliwa kwenye familia ya kitajiri wazazi wake walikuwa maskini, mama yake alifariki dunia hivyo aliishi na baba yake aliyekuwa anafanya kazi baa kama muhudumu, maisha yake hayakuwa mepesi ila pesa alizopata baba yake ndizo zilizomsomesha Troutt alipotaka kwenda kusoma katika chuo cha southern illinois marekani hakuwa na hela, hivyo alichokifanya ni kuuza bima yake ya afya ili apate hela kweli akapata akaanza chuo kwa alikuwa na akili akaanzisha kampuni ya simu iitwayo Excell communications ambapo mwaka 1996 ilijulikana zaidi miaka miwili baadae aliiuza kampuni yake kwenye kampuni ya Telegrobe kwa dola bilioni tatu, leo unapomzungumzia Troutt unamzungumzia bilionea mkubwa sana anayemiliki Timu ya kikapu ya Titan huko marekani, Howard schultzc naye pia alizaliwa kwenye familia ya kimaskini kwa maisha ya kuungaunga akajikuta akianza masomo yake katika chuo cha Northern Michigancnchini Marekani alipomaliza alienda kufanya kazi katika kampuni ya kutengeneza mashine za fotokopi xerox baadaye akaamua kuachana nayo akaanzisha duka dogo kahawa aliloliita starbucks kupitia duka moja akapata maduka 60.Baadaye akapata sehemu zaidi ya elfu kumi na sita za kusambaza kahawa yake.

John Paul Dejoria ni miongoni mwa matajiri aliyeishi maisha magumu sana mara baada ya kufikisha muaka 10 alianza biashara ya kuuza kadi za krismasi na magazeti kwaajili ya kusaidia familia yake,baada ya kutoka jeshini akaamua kufanya kazi kivyakevyake kutafuta fedha wakati huo familia yake ilikuwa na hali mbaya kiuchumi hivyo akamua kukopa pesa benkickiadi cha dola mia saba (Zaidi ya sh milioni 1.4)

Jamaa huyo alianzisha biashara ya kuuza shampoo tena huku akiishi katika gari lake chakavu,baadaye alianzisha wiski iitwayo patron Tequila ambayo mpaka leo inamuingizia kiasi kikubwa cha fedha,Ralph Lauren naye pia alitokea katika familia.madkini sana ambapo yeye alijiuliza kama angeweza kuwafanya wanaume wapendeze kwa kuvaa tai zenye kung'aa alipopata jibu kwa kuona inawezekana akaamua kutengeneza tai hizo aliamini katika ndoto hiyo hatimaye mwaka 1967 aliikamilisha ndoto yake kwa kuuza tai zilizokuwa navthamani ya dola 500,000 (zaidi ya sh bilioni 1) mwaka uliofuata akaanzisha kampuni ya mavazi iliyoitwa polo".Licha ya watu wote wakubwa duniani waliofanikiwa kwa kuamua na kutokuogopa kushindwa wapo wengine katika nchi yetu mfano Hayati Dr Mengi ambaye alipitia maisha ya shida mpaka kuja kuwa mmiliki wa kampuni ya IPP Ltd na makampuni mengine makubwa, Mh Erick Shigongo ambaye sasa ni mbunge naye pia alipitia maisha magumu lakini sasa ni mmiliki wa kampuni ya global.

Pia said Salum Bakheresa, huyu ni mmoja ya watu matajiri sana Tanzania sema alianza biashara yake kwa mtaji mdogo sana historia yake kwa ufupi said salim bakheresa alizaliwa mwaka 1949 mjini zanzibar alisoma elimu ya msingi hadi alipofika umri wa miaka 14 ambapo aliacha shule kutokana na maisha ya familia kuwa magumu hiyo kujiingiza kwenye biadhara ilikuhudumia familia katika mahitaji ya chakula baada ya baba yake kukabiliwa na madeni ambapo alianza na biashara ya viazi vya kuchemshwa miaka 1960, alijiingiza katika biashara ya kununua mabaki ya mazao ya baharini kama mifupa na magamba ya viumbe wa bahatini na kuyauza mombasa, kutokana na tofauti za fedha zilizokuwepo kipindi hiko kati ya Tanzania na kenya alikuwa pia akinunua ngozi kutoka kenya na kuja kushonea viatu Tanzania na baadae aliamua kuitudia biashara yake ya viazi vya kuchemsha wakati huu aliongeza mikate na kisha kununua mgahawa kutoka kwa mgeni wa kihindi ukiwa na jina la Azam, jina ambalo analitumia kama nembo (brand) ya biadhaa zake.

Nafasi ya kubadilisha maisha yako ipo mikononi mwako wewe ndiye mwenye dhamana ya kubadili maisha yako usiogope kushindwa jaribu tena na tena maana hakuna mafanikio pasipo changamoto.
 
Upvote 10

🚀
 
Dada umenipa nguvu ya kusimama kidete.....

Hakika andiko hili ni Uzi sana. Nguvu ya uandishi hii inaonekana wazi✊🏾💪🏿
 
Back
Top Bottom