Kambaka mwanafunzi na kumsababishia mimba, kakamatwa kaachiwa baada ya siku chache

Mnastar jr

Member
Joined
Dec 29, 2016
Posts
99
Reaction score
53
Habari wakuu,!!kuna mdgo ake rafiki ang mmoj alikua kdato cha tatu msichana ni mcha mungu na alipenda sana shule.Kuna jamaa MTU mzima tu alkua anamtaka kimapenz kakamkatalia kabisa basi jamaa akaamua mvizia dogo na vjana akambaka ,dgo akapata mimba siku hyo.tulireport police jamaa akakamatwa ila hajamalza ata wk mbili katok ktuoni yupo mtaan!!naomben ushauri wenu ndg. jamaa achukuliwe hatua zipi ambazo ztampa funzo pia kwa wengne !! Ushauri wenu ndgu;tukio kasulu kigoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anza kumuona OCS
Asipo kusaidia nenda kwa OC-CID.
Asipo kusaidia nenda kwa OCD
Asipo kusaidia nenda kwa RCO
Asipo kusaidia nenda kwa RPC

Ukikosa msaada kwa hao, rudi tena hapa tutakuelekeza nini cha kufanya, wapi pakwenda na nani wa kumuona
 
Subiri msafara ulale barabarani ueleze shida yako!
 
Kwa kweli hii kitu inakeraga sana. Mtu tu na maisha yake anamharibia binti mustkbali wake kisa tamaa na baada ya hapo hana mpango naye!!

Cha kufanya ondoa aibu na mumshtaki kama ushahidi upo, na kama police wanakuzingua fungua kesi direct mahakamani

Cairo's
 
Habari wakuu,!!kuna mdgo ake rafiki ang mmoj alikua kdato cha tatu msichana ni mcha mungu na alipenda sana shule.Kuna jamaa MTU mzima tu alkua anamtaka kimapenz kakamkatalia kabisa basi jamaa akaamua mvizia dogo na vjana akambaka ,dgo akapata mimba siku hyo.tulireport police jamaa akakamatwa ila hajamalza ata wk mbili katok ktuoni yupo mtaan!!naomben ushauli wenu ndg. jamaa achukuliwe hatua zipi ambazo ztampa funzo pia kwa wengne !! Ushauri wenu ndgu;tukio kasulu kigoma

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia police tz wapo twitter ipeleke kule watakusaidia
 
Habari wakuu,!!kuna mdgo ake rafiki ang mmoj alikua kdato cha tatu msichana ni mcha mungu na alipenda sana shule.Kuna jamaa MTU mzima tu alkua anamtaka kimapenz kakamkatalia kabisa basi jamaa akaamua mvizia dogo na vjana akambaka ,dgo akapata mimba siku hyo.tulireport police jamaa akakamatwa ila hajamalza ata wk mbili katok ktuoni yupo mtaan!!naomben ushauli wenu ndg. jamaa achukuliwe hatua zipi ambazo ztampa funzo pia kwa wengne !! Ushauri wenu ndgu;tukio kasulu kigoma

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia ueleze vizuri kwani kuna sheria ambayo mtu akikamatwa lazima akae ndani wiki mbili??? Kwani kesi ya kubaka si ina dhamana?? Je kama yupo nje kwa dhamana. Eleza hayo kwanza ndio. Wadau wajue, je daktari alihaikiksha kweli amebakwa? Kwani hizi kesi za ubakaji huwa ni nyepesi sana kumtia mtu hatiani ila wahusika huwa wanaziharibu mwanzoni kabisa kwa kutokujua nini wafanye baada tu ya tukio kuwa limetokea, mfano kumuosha sehemu za siri za muathirika. Badaye ushahidi unaharibika watu wanaanza kuaumu.
 
Habari wakuu,!!kuna mdgo ake rafiki ang mmoj alikua kdato cha tatu msichana ni mcha mungu na alipenda sana shule.Kuna jamaa MTU mzima tu alkua anamtaka kimapenz kakamkatalia kabisa basi jamaa akaamua mvizia dogo na vjana akambaka ,dgo akapata mimba siku hyo.tulireport police jamaa akakamatwa ila hajamalza ata wk mbili katok ktuoni yupo mtaan!!naomben ushauri wenu ndg. jamaa achukuliwe hatua zipi ambazo ztampa funzo pia kwa wengne !! Ushauri wenu ndgu;tukio kasulu kigoma

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunzie kwenye hoja yako ya ".....tulireport police jamaa akakamatwa ila hajamalza ata wk mbili katok ktuoni yupo mtaan!!..."

1. Kwa nini mlitoa taarifa za ubakaji huo baada ya muda mrefu kupita?
2. Je, hamjakaa vikao vya wanandugu na kupokea pesa toka kwa mbakaji ili yaishe?
3. Na je, ulitaka akae polisi siku ngapi ili uridhike kuwa ametendewa haki?
4. Na je, kesi imepelekwa mahakamani au haijapelekwa?
5. Mmejuaje kama walifanya siku moja?
 
Shida ni sisi watu,kesi ya ubakaji ni ya jamuhuri,ni ya jinai,mtu huachiwa tu kwa sababu mashahaidi ambao ni nyie mnaoandika hapa jf mkimfikisha kituioni mnataka afungwe,atafungwaje bila ushahidi wa kumpeleka mahakamani?umesema amebaka mpaka kituoni,uko tayari kuwa shahidi wa jamuhuri?acheni blal bla aishi kituoni klwa sababu mnasema amebaka?uko tayari kuwa shahidi wa jamuhuri?
 
Habari wakuu,!!kuna mdgo ake rafiki ang mmoj alikua kdato cha tatu msichana ni mcha mungu na alipenda sana shule.Kuna jamaa MTU mzima tu alkua anamtaka kimapenz kakamkatalia kabisa basi jamaa akaamua mvizia dogo na vjana akambaka ,dgo akapata mimba siku hyo.tulireport police jamaa akakamatwa ila hajamalza ata wk mbili katok ktuoni yupo mtaan!!naomben ushauri wenu ndg. jamaa achukuliwe hatua zipi ambazo ztampa funzo pia kwa wengne !! Ushauri wenu ndgu;tukio kasulu kigoma Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu tulia na ujibu haya maswali ya mhenga :-

Back
Top Bottom