Kambarage Stadium kama Old Traford/Sansiro/Giusepe meaza

kuna mechi moja nakumbuka simba alikua anatafutiwa matokeo kule shy mpira ulichezwa dk zaidi ya 100 lakini wakaangukia pua
 
Hiki kitimu ni kizuri sana toka kilipopanda daraja,ila pesa za ACCACIA zilikuwa znataka kuvuruga timu
 
Hiki kitimu ni kizuri sana toka kilipopanda daraja,ila pesa za ACCACIA zilikuwa znataka kuvuruga timu
Wameanza migogoro ndo shida ya soka la Bongo jana wamepoteza mchezo dhidi ya prison

Liewg kaandika waraka akihushisha na rushwa ndani yake
 
Stand watastandishwa vibaya sana na mnyama!!
 
Stand watastandishwa vibaya sana na mnyama!!
Wameshaanza migogoro kocha ndo uyo kaondoka wana asilimia kubwa ya kupoteza michezo ijayo anza na jana wamefungwa na Prison
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…