Unajua unaweza ukawa unafundisha tofali ! Halielewi kitu chochote !
Namaanisha wanafunzi kuwa na utayari ! Kama hawana utayari basi mtafundisha wanafunzi wachache !
Nimekuwa mwanafunzi thats why naelewa vizuri !
Kwenye wanafunzi kunakuwa na ma Actors na ma Actress !
Unaweza ukawa unafundisha baadhi wakawa wana act kama wanakuelewa hivi ! Kumbe madudu !
Binafsi 95% naamini kambi hazi saidii chochote kile zaidi ya kuwaweka wanafunzi kuwa na uhuru zaidi ! Na baadhi kuenda wrong way !
Si unajua watoto wanapeana bila mizani siku hizi !
N:B !
Am sorry kama uliwalenga zaidi walimu tu !
UKWELI UTABAKI