walimu wa sekondari wilaya ya mbinga mmelipokeaje swala la kuweka kambi za kufundisha kwenye shule zenu wakati wa likizo? je unafikiri kuwa na kambi kwa muda mfupi wa likizo mnaweza kuboresha elimu au matokeo mazuri kwa sasa? toa maoni yako tafadhar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.