Kambi ya ‘Mgombea’ pale “Mlimani City” zilipokuwa ofisi za Vodacom inalenga nini?

Kambi ya ‘Mgombea’ pale “Mlimani City” zilipokuwa ofisi za Vodacom inalenga nini?

Ex Spy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2007
Posts
346
Reaction score
2,968
Waratibu: NN, JM, LN na ‘wazee wa kazi’

Na recruitment ya IT Experts wengine kutoka CoICT ya UDM iliyofanywa mapema Juni imeenda mbali kuhakikisha ushindi wa kishindo.

Lakini, kwani kuna uchaguzi? Mbona zinatumika pesa nyingi bila sababu?
 
Ile timu ya wale waliosema "Jamaa mshamba sana"

"Mara Mali mali , hakuna nchi inayoitwa mali mali"
 
Hao ndio waliohusika kwenye kuunga ma cable ya mifumo ya uchakachachuaji wa kura. Baada ya Bomu la jana kutoka kwa Polepole wanatafuta namna ya kuyafumua fumua ili wakitokea wafuatiliaji wakute hakuna kila kitu ili Pole pole aonekane muongo.
 
Igizo la uchaguzi wa Tanzania ni fursa ya watu kupiga pesa, kodi za walala hoi.
 
Back
Top Bottom