L Leonel Ateba Mbinda JF-Expert Member Joined Feb 20, 2023 Posts 644 Reaction score 2,695 Oct 30, 2023 #1 Nimefuatilia sana mechi za Simba inapocheza na Yanga, Simba inapotumia uwanja wa Bunju kujiandaa kumkabili Yanga mara nyingi tunaishia kupata sare, sijui kwanini tunapenda kuiwinda Yanga tukiwa Bunju. Yanga mnawajua lakini? Shauri yenu.
Nimefuatilia sana mechi za Simba inapocheza na Yanga, Simba inapotumia uwanja wa Bunju kujiandaa kumkabili Yanga mara nyingi tunaishia kupata sare, sijui kwanini tunapenda kuiwinda Yanga tukiwa Bunju. Yanga mnawajua lakini? Shauri yenu.
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Oct 30, 2023 #2 Msiwape vichwa bana...mbona wa kawaida haoo...kama Ihefu inawatoa jasho itakua mnyama?
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 40,905 Reaction score 86,203 Oct 30, 2023 #3 Mnawaza ulozi Tu ,dah
Smt016 JF-Expert Member Joined Jan 11, 2016 Posts 3,012 Reaction score 4,300 Oct 30, 2023 #4 Mechi ambayo Simba walishinda goli mbili kambi ilikuwa imewekwa wapi?
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Oct 30, 2023 #5 Zile goli za Inonga na Kibu walifanyia mazoezi wapi?
A Algore JF-Expert Member Joined Apr 26, 2020 Posts 2,363 Reaction score 3,795 Oct 30, 2023 #6 Kwa jinsi gadiola mnene anavyoiwangia timu, Namuona mzee wa robo robo fc akipigwa mkono jumapili na huo ndiyo utakuwa mwisho wa chiba pale msimbazj.
Kwa jinsi gadiola mnene anavyoiwangia timu, Namuona mzee wa robo robo fc akipigwa mkono jumapili na huo ndiyo utakuwa mwisho wa chiba pale msimbazj.