Kambi ya Simba Uwanja wa Bunju unakuwa mgumu sana kumfunga Yanga

Kambi ya Simba Uwanja wa Bunju unakuwa mgumu sana kumfunga Yanga

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Nimefuatilia sana mechi za Simba inapocheza na Yanga, Simba inapotumia uwanja wa Bunju kujiandaa kumkabili Yanga mara nyingi tunaishia kupata sare, sijui kwanini tunapenda kuiwinda Yanga tukiwa Bunju. Yanga mnawajua lakini? Shauri yenu.
 
Kwa jinsi gadiola mnene anavyoiwangia timu, Namuona mzee wa robo robo fc akipigwa mkono jumapili na huo ndiyo utakuwa mwisho wa chiba pale msimbazj.
 
Back
Top Bottom