Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Mashindano ya Jumuiya ya Madola yanatarajiwa Kufanyika Birmingham,Uingereza na Mashindano ya Dunia Kufanyika Oregon, Marekani Mapema Julai Mwaka Huu.
Hivyo, Baraza la Michezo Tanzania (BMT) wakishirikiana na Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) wameanza kusaka maeneo ya kuwaweka Wanariadha wa mbio fupi na Ndefu Ili kuwezesha Maandalizi Yenye Tija na kupata Medali.
Kambi zinatarajiwa kuwekwa Aidha West Kilimanjaro na Olmotonyi, Arusha.
Tutegemee Makubwa kwenye Riadha Mwaka huu.