Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Serikali haikutuma janga hilo,wasitegemee chochote.Masahihisho ni migongo sio migogo,Niko maeneo ya tukio chanzo cha moto ni mtu aliyekuwa anapima petroleum karibu na moto hivyo kupekekea mlipuko mkubwa sana,mpaka sasa kuna kifo kimoja.
Hasara ya Mali ni kubwa sana haimithiriki
Aisee kumbe ni mvuvi ?!. Anyway pole yao. Nawajuwa watu wa migongo [emoji120][emoji40]Masahihisho ni migongo sio migogo,Niko maeneo ya tukio chanzo cha moto ni mtu aliyekuwa anapima petroleum karibu na moto hivyo kupekekea mlipuko mkubwa sana,mpaka sasa kuna kifo kimoja.
Hasara ya Mali ni kubwa sana haimithiriki
Kambi ni mazingira ya kazi na kunawatu wanakuwa wamewekeza mamilioni ya pesa kwa huduma mbalimbali za kibinadamEti kambi ya uvuvi ! hawa wavuvi hawana kwao ?
Kamanda kambi ni jina tu, lakini hizi ni sehemu za utafutaji tupo tuliotoka Dar na mikoa tofauti tofauti, kwa taarifa yako wengi wa watu wa huku wanachuma mapesa na wamewekeza mijini na uchangia kiasi kikubwa cha kodi, mafukara ni wachache sana.Hata huyo tajiri mkubwa jijini Mwanza mtiriko wake umeanzia huku.Eti kambi ya uvuvi ! hawa wavuvi hawana kwao ?
Hao watu 100 kilammoja angechota maji toka ziwani kwenye ndoo ya Lita 10 wangeweza kuuzima moto huo, hata hivyo ubinafsi chanzo cha nyumba zote hizo kuungua. Wakati moto unaanza na kuona utawashinda nguvu wangeamua kubomoa baadhi ya nyumba ili moto ukose njia, lakini inaonekana hakuna aliyekuwa tayari, hivyo wakaamua kukimbizana na moto wakisahau moto unasaidiwa na upepo uliopo ziwani.Masahihisho ni migongo sio migogo,Niko maeneo ya tukio chanzo cha moto ni mtu aliyekuwa anapima petroleum karibu na moto hivyo kupekekea mlipuko mkubwa sana,mpaka sasa kuna kifo kimoja.
Hasara ya Mali ni kubwa sana haimithiriki