njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Hawa jamaa bana dah walikuwa wanaringia magorofa eti wako mjini siyo vijijini, jamani ushamba mzigo sana
Kwa mujibu wa kauli ya Afisa habari wa Yanga, Hasan Bumbuli amedai kocha atalazimika kubadili utaratibu wa mazoezi kutokana na joto kuwa kali sana mjini Casablanca tofauti na Rabat sehemu waliopo Simba.
"Kocha amesema wamefanya mazoezi asubuhi kwa muda mchache kutokana na joto kali, hivyo kuanzia leo, watalazimika kufanya mazoezi mapema sana asubuhi kabla ya jua kuchomoza na kisha hali ikiruhusu baada ya jua kuzama jioni."
Kingine Bumbuli amedai wachezaji Khalid Aucho na Yannick Bangala Litombo wanatarajiwa kuwasili leo nchini Morocco.
HALI YA HEWA YAGEUKA KIKWAZO KWENYE MAZOEZI YA YANGA