wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Ili waone vishundu vya pale Pentagon.Ili wafanye nini? Nini watakachokipata kwa kui zoom Pentagon?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili waone vishundu vya pale Pentagon.Ili wafanye nini? Nini watakachokipata kwa kui zoom Pentagon?
Huyo adui anatembea kwa miguu?.au unawaza mambo ya mwaka 47.Wakiamua wanakuata popote.Yes.. hiyo ni moja ya sababu ikulu imehamishiwa Dodoma kule adui mpaka afike ni kazi sio hapa DSM kwenye maji kule ni risk vibaya mno.. adui kutokomea ni dk sifuri.
Haaahaaa!! Wameshindwa kui- zoom Ukraine sembuse huko Mbali.Majuzi warussi huko International Space Station walisema wako wanai-zoom pentagon kwa kutumia satellite.
Sasa sisi sijui tunaweza kufanya nini kwny jambo Hilo.
😄😄😄 alisikika Mmarekani wa ukerewe akiongea kwa jazba 😄😄😄Haaahaaa!! Wameshindwa kui- zoom Ukraine sembuse huko Mbali.
Kimsingi ktk suala la satellite nchi pekee inayoongoza ni Marekani tu. Wengine wanajikongoja.
😄😄😄 Siku hizi vinatumwa vitu vya supersonic kutoka huko vilipo,hata hawahitaji kukusogelea karibu.Yes.. hiyo ni moja ya sababu ikulu imehamishiwa Dodoma kule adui mpaka afike ni kazi sio hapa DSM kwenye maji kule ni risk vibaya mno.. adui kutokomea ni dk sifuri.
Kwenye Vita ya kizazi chetu.. information and speed is everything [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1] Siku hizi vinatumwa vitu vya supersonic kutoka huko vilipo,hata hawahitaji kukusogelea karibu.
Labda ngome tu pale upangaKwa sisi raia wa kawaida tumewekewa sheria kuwa haturuhusiwi kupiga picha kambi ya jeshi zaidi zile zenye taarifa muhimu za jeshi. Ndio sipingi na ni sahihi maana kwa kutumia picha tu adui anaweza kupata taarifa nyingi na ikawa ni angamizo kubwa.
Hivi sasa tupo kwenye ulimwengu wa teknolojia tena inakuwa kwa kasi sana,majeshi mengi hivi sasa yanajiimarisha pia katika nyanja hiyo.
Hoja yangu kuu ni kichwa cha habari hapo juu kwani tumekuwa tukizuiwa kupiga picha ama video katika kambi za jeshi,Sasa je vipi satellite ambazo zipo huko juu na huchukua picha nyingi tu na kwa upana zaidi!
Vipi kambi zetu zinajua hilo na wanalizuia vipi wasipigwe picha na satelite?
Ama tunatwanga maji kwenye kinu..?
Longo longo.Kwa wenye resources za kutosha wanachukua vizuri tu.. hata mimi na kagoogle map kangu naizoom kambi yoyote vizuri tu. .
Warusi wanaiona Russia tokA 1957 kupitia Sputnik. Kwa Sasa Sputnik haiko active Tena.Ili wafanye nini? Nini watakachokipata kwa kui zoom Pentagon?
Yule jamaa yako aliekutuma Bitegaramana mwambie umekwama sana halafu achana na hizo storyKwa sisi raia wa kawaida tumewekewa sheria kuwa haturuhusiwi kupiga picha kambi ya jeshi zaidi zile zenye taarifa muhimu za jeshi. Ndio sipingi na ni sahihi maana kwa kutumia picha tu adui anaweza kupata taarifa nyingi na ikawa ni angamizo kubwa.
Hivi sasa tupo kwenye ulimwengu wa teknolojia tena inakuwa kwa kasi sana,majeshi mengi hivi sasa yanajiimarisha pia katika nyanja hiyo.
Hoja yangu kuu ni kichwa cha habari hapo juu kwani tumekuwa tukizuiwa kupiga picha ama video katika kambi za jeshi,Sasa je vipi satellite ambazo zipo huko juu na huchukua picha nyingi tu na kwa upana zaidi!
Vipi kambi zetu zinajua hilo na wanalizuia vipi wasipigwe picha na satelite?
Ama tunatwanga maji kwenye kinu..?
Mkuu, Vjta yetu sisi si kwa wenye satelite. Vita yetu ni ya thithi thi thii. Wenye satelite tuwaache walale kwanzaKwa sisi raia wa kawaida tumewekewa sheria kuwa haturuhusiwi kupiga picha kambi ya jeshi zaidi zile zenye taarifa muhimu za jeshi. Ndio sipingi na ni sahihi maana kwa kutumia picha tu adui anaweza kupata taarifa nyingi na ikawa ni angamizo kubwa.
Hivi sasa tupo kwenye ulimwengu wa teknolojia tena inakuwa kwa kasi sana,majeshi mengi hivi sasa yanajiimarisha pia katika nyanja hiyo.
Hoja yangu kuu ni kichwa cha habari hapo juu kwani tumekuwa tukizuiwa kupiga picha ama video katika kambi za jeshi,Sasa je vipi satellite ambazo zipo huko juu na huchukua picha nyingi tu na kwa upana zaidi!
Vipi kambi zetu zinajua hilo na wanalizuia vipi wasipigwe picha na satelite?
Ama tunatwanga maji kwenye kinu..?
Kuona picha ya jengo tu lilivyo na pembe tano😅😅Ili wafanye nini? Nini watakachokipata kwa kui zoom Pentagon?