Kambi za Jeshi Tanzania zina vizuizi vya kuzuia picha zipigwazo na satelite?

Yes.. hiyo ni moja ya sababu ikulu imehamishiwa Dodoma kule adui mpaka afike ni kazi sio hapa DSM kwenye maji kule ni risk vibaya mno.. adui kutokomea ni dk sifuri.
Huyo adui anatembea kwa miguu?.au unawaza mambo ya mwaka 47.Wakiamua wanakuata popote.
 
Majuzi warussi huko International Space Station walisema wako wanai-zoom pentagon kwa kutumia satellite.

Sasa sisi sijui tunaweza kufanya nini kwny jambo Hilo.
Haaahaaa!! Wameshindwa kui- zoom Ukraine sembuse huko Mbali.
Kimsingi ktk suala la satellite nchi pekee inayoongoza ni Marekani tu. Wengine wanajikongoja.
 
Haaahaaa!! Wameshindwa kui- zoom Ukraine sembuse huko Mbali.
Kimsingi ktk suala la satellite nchi pekee inayoongoza ni Marekani tu. Wengine wanajikongoja.
😄😄😄 alisikika Mmarekani wa ukerewe akiongea kwa jazba 😄😄😄
 
Yes.. hiyo ni moja ya sababu ikulu imehamishiwa Dodoma kule adui mpaka afike ni kazi sio hapa DSM kwenye maji kule ni risk vibaya mno.. adui kutokomea ni dk sifuri.
😄😄😄 Siku hizi vinatumwa vitu vya supersonic kutoka huko vilipo,hata hawahitaji kukusogelea karibu.
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Siku hizi vinatumwa vitu vya supersonic kutoka huko vilipo,hata hawahitaji kukusogelea karibu.
Kwenye Vita ya kizazi chetu.. information and speed is everything [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Labda ngome tu pale upanga
 
Ili wafanye nini? Nini watakachokipata kwa kui zoom Pentagon?
Warusi wanaiona Russia tokA 1957 kupitia Sputnik. Kwa Sasa Sputnik haiko active Tena.
Hii Ni sababu mojawapo ya warusi na Wamarekani kutopigana direct. Wanajuana jinsi gani ugomvi was mojakwa moja utaangamiza kila kilicho chao
 
Yule jamaa yako aliekutuma Bitegaramana mwambie umekwama sana halafu achana na hizo story
 
Ukitumia google earth unaona kila kitu kilichomo ardhini wakati inaingia hii teknolojia Kwenye simu nilimshangazaga demu mmoja jinsi nilivyokuwa namtajia maeneo ya nyumbani kwao na picha ya home kwao nikaiskrinshut alishangaa sana.
 
Mkuu, Vjta yetu sisi si kwa wenye satelite. Vita yetu ni ya thithi thi thii. Wenye satelite tuwaache walale kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…