Kambi za Karantini za Corona zageuzwa madanguro Kenya, wahusika waomba serikali kuwapa "Condoms".

MK254 njoo huku ya cameroon yamehamia Nairobiu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Binafsi haya makarantini bila hiyo huduma ya akina dada zetu nitatoroka, cha msingi unahakikisha mnaifanya kwa njia salama, aje kama amevaa hayo mavitu ila aachie pale eneo lile lile muhimu, na humo pia avae kondomu ya akina dada, pia na mimi nijivishe mavazi ya kumlinda na kondomu pia, kisha tufanye kwa mtindo wa kuchuna mboga

 
Aisee
 
hali tz vipi!!! hali nzuri kweli kweli...
 
hehe bora umuongoze Mbuzi

Alisikika baharia wa buza akisema
 
Wakenya wagani wanachokora Tanzania? Taja watatu tu.
Kwanini unataka watatu?, kwanini usiseme taja mkenya hata mmoja anayeichokonoa Tanzania kila siku?, unahisi hadi wafike watatu ndio tuanze kujibu?. Hukumbuki maneno ya Jaguar pekee yalivyohamsha taharuki?.

Jambo moja lazima mjifunze ni kwamba, sio lazima maisha yaende vile mnavyotaka ninyi, hapa unataka nikutajie watatu, lakini unajua kwamba wapo wakenya wenye kufanyia chokochoko Tanzania, hata kama yupo mmoja tu, hiyo inatosha kuamsha hasira za watanzania wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna upumbavu zaidi ya kuacha njia sahihi inayofaa kuzuia maambukizi badala yake mnang'ang'ana na ujinga wa kupima

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wala sio mashindano haya! Hasa ikifikia ni maswala ya afya na uhai wa binadamu ligi sitaweza. I'm afraid I won't be a part of this.
Wewe endelea kumuomba Mungu kama njia ya kupambana na Kirusi hiki na sisi tutaendelea na Mass Testing yetu.
 
Mkuu wala sio mashindano haya! Hasa ikifikia ni maswala ya afya na uhai wa binadamu ligi sitaweza. I'm afraid I won't be a part of this.
Wewe endelea kumuomba Mungu kama njia ya kupambana na Kirusi hiki na sisi tutaendelea na Mass Testing yetu.
Umezungumza vizuri sana, nililisema hili jambo la kila nchi kufanya vile inavyodhani ni sahihi na mwisho wa siku atakayefanikiwa ndio atakua ni mfano kwa wengine. Jambo la kushangaza kila siku mbafungua uzi kujaribu kuonyesha kwamba "mass testing" ndio njia sahihi na kwamba nchi zengine zisizofanya hivyo zinafanya makosa, pamoja na kwamba ukweli umeshajidhihirisha kwamba ni nchi gani inayofanikiwa hadi sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Condomu mbili zikigusana zitapasuka. Yeye avae tu na wewe ubaki hivyo au wewe uvae na yeye abaki hivyo. Mbili ni kuleta majanga na hatutaki kukupoteza mzee wa kijiji yetu 😁😁.
 
Sawa mkuu. Nafurahi kuona kwamba Kenya inakuzingua. Inaonekana wewe ni mtu ambaye akipenda amependa. Hata mpenzi wako najua unampa mahaba ya kutosha. Kwa kawaida ni vyema kufanya vitu kwa vipimo. Full mahaba kwa Kenya kidogo inatuchanganya. Hatujazoea mahaba kiasi hiki.
 
Condomu mbili zikigusana zitapasuka. Yeye avae tu na wewe ubaki hivyo au wewe uvae na yeye abaki hivyo. Mbili ni kuleta majanga na hatutaki kukupoteza mzee wa kijiji yetu 😁😁.

Duh! Au kama vipi anisaidie kupiga nyeto mzuka uishe tu basi, maana hii serikali inafaa ielewe, kwamba
- Kuweka mtu anayejihisi mzima karantini, haswa hizi za kukomoana kisa mtu kaingia kaunti nyingine
- Hanywi pombe
- Yuko mwenyewe muda wote
- Wanaokuja kumhudumia wote wamevaa mavazi wanafanana mizimwi

Hapo hamna kingine, unajikuta mzuka unakupanda ghafla baada ya kila saa. Bora wapewe kila mtu kipakatarishi/laptop iliyounga kwenye Showmax au Netflix walau iwe mwendo wa kutazama series siku zinaisha.
Kipindi niliumwa Dengue Bongo, nikaambiwa na daktari haina dawa, ilibidi nisake movies na series nikatulia ndani, mwili ulinipelekesha ila movies zilinituliza mpaka kirusi kikafa chenyewe.
 
Kweli we mpumbavu hivi upo Kwenye kuwaza ugonjwa Kama unao au huna utakua na raha gani mpaka huo mkuyenge wenyewe uweze kusimama
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya wagani wanachokora Tanzania? Taja watatu tu.
actually apart from the Kenyans here in JF very few Kenyans even know their number of corona cases since most aren't even interested.
 
actually apart from the Kenyans here in JF very few Kenyans even know their number of corona cases since most aren't even interested.
True. I actually don't even know their number of corona virus cases.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…