Kameza kifuniko cha bia, afanyeje?

Kameza kifuniko cha bia, afanyeje?

Mpasuajipu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2010
Posts
836
Reaction score
50
Wataalam naombeni ushauri wenu.

Rafiki yangu kameza kwa bahati mbaya 'kisoda' cha bia na kimepita ghafla kooni na kuelekea tumboni.

Je kuna madhara yoyote au kitatoka kwa haja asubiri.

kaingiwa na wasiwasi hivyo wataalamu toeni ushauri mapema tumsaidie.

ahsante
 
Poleni sana ila usisubiri msaada toka JF kwa issue kama hii, fasta mpeleke hospital and doctor atakwambieni cha kufanya.
 
Kweli duniani kuna mambo sasa na huyo alikuwa ana fanya nini tena mpaka ikawa hivyo
 
Pole sana... but inabidi awahi hospitali mapema
 
Du!mwambie ale mapapai kwa wingi labda kinaweza kutoka.otherwise awahi hospital
 
Ni hospitali tu ndugu yangu kama walivyoshauri wengi, natumaini umeshamkimbiza hospital, hicho kisoda kinaweza kumziba njia ya chakula na hivyo akapata intestinal obstruction, wahini hospitali
 
Vitu vimgine ni logic. Aende hosipital.
 
Amefuata ushauri wa kumwona daktari. nadhani hakuna shida atapata msaada zaidi.
 
Back
Top Bottom