Haiwezi kuwa tofauti kwani tayari nimeshajipanga hivyo!! na najua ndoa sio mchezo na ndio maana naivutia kasi nikiingia humo najua hakuna kutoka wala kuachana kwa mambo yasiyokua na miguu wala mikono!
Haya hayajaanza leo hata mama zetu wenye zaidi ya miaka 50 kwenye ndoa wamevumilia mengi ndio maana leo tumlelewa vizuri na tukirudi vijijin tunawakuta!
Tukumbuke wazee wetu walikuwa wanaongozwa na mila na desturi lakini wa leo wanaongozwa na dot com ndo maana haya matukio ya ajabu ajabu hayatakoma!!
Hapa wanaume wengi wanataka mke asamehe kisa eti si malaika... sipati picha ingekua kinyume chake hapa kua mama kakutwa na housegirl..!! pangekua hapatoshi. wanaume bwana, kwa kutetea kwenye maujinga yenu hamjambo....
hahahahahhahaahahhhh Sal bwana umewashika penyewe haswaa. Pangekuwa hapashikiki hapa, watu keyboards wangetypia vidole gumba vya miguuni!!
Hapo kwenye Housegirl ulitaka kuweka boy au? loh
Hahahahahah lol! Napiga picha hii ya kutypia na vidole gumba vya miguuni haiingii akillini lol! nami nina swali kama lako hapo kwenye nyekundu.
Good for you!
For the single guys in JF, msiwe wazembe wife material/mke mwema yumo humu mshindwe wenyewe!
Uko tayari kuolewa pamoja na housegirl??
Mume mwema hutoka kwa mungu!