Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

Naomba tu nikukumbushe tena mimi na wewe ni wachangiaji, kila mtu na hoja yake ila mhusika wa issue ndo muamuzi na huyo ndo mwenye kudetermine kipi ni cha maana kwake ili akichukue na kipi ni useless akiache!!! Unapoona weakness unaruhusiwa kucritisize, usilazimishe kuwa mtizamo wako ndo wa maana sana ilihali sote twategemeana na pia twategemea saana michango ya members wengine!!

Kakondoo potezea!!
Alafu swali lako SIJIBU.
 
Lizzy mzima darling? Nina mashaka na hizi I'd mpya nahisi ni mpango madhubuti.

Nwy zinaleta changamoto
 
sasa ulikuwa unaweka pozi lann kujibu?
ww mumeo akikuudhi mara kwa mara na akakuboa kiasi cha kupoteza moody bado akija utampanulia tu hata uchungu wako moyoni haujaisha kwanza?
hlf it seems haupo kwenye ndoa ww na pocbo bado bikra ww kwasababu hiki kitu ni very common.

...dahhh, hii lugha sio nzuri kwakweli...
 
...dahhh, hii lugha sio nzuri kwakweli...

Mkuu Mbu ukiona lugha za ajabu ajabu kama hizi usisahau jukwaa letu la GUNNERS karibu kule bado tunatolewa jasho jembamba katika dkk ya 72 bado 1-1.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Lizzy mzima darling? Nina mashaka na hizi I'd mpya nahisi ni mpango madhubuti.

Nwy zinaleta changamoto
Mi mzima kabisa mpenzi, vipi wewe?

Hahahaha, hizi nadhani zimeanzishwa kwa malengo kama tuonavyo.Taratiiibu tutafika tu!!
 
Mi mzima kabisa mpenzi, vipi wewe?

Hahahaha, hizi nadhani zimeanzishwa kwa malengo kama tuonavyo.Taratiiibu tutafika tu!!

Inanibidi nicheke tu, maana mtu waalazimishwa kucheza ligi za mchangani ilhal we ushazoea za Stadium! Mbona wana shughuli!!?
 
Hukua na sababu yoyote kunijibu kwa post zenye kejeli namna hii! But nakuelewa. Kama ungechuka muda wa kulielewa swali langu katu usingeandika post hii. Nitakujibu!

Kwanza kuweka pozi kwenye kulijib swali lako ni haki yangu ya msingi kwa sabab kuu mbili
1. Its too personal! Naamini hujaulizwa the same! So ni maamuzi yangu kukujibu au kukupotezea. Na kama ungeelewa maana ya ajuza ungelipata jibu langu frm there.
2. Hili swali lako kwangu ni nje ya topic. Niliamua kujibu vile ili kuavoid kutoka nje ya mada (am sorry kuwa imebidi)

Mantiki nzima ya swali langu ilikuwa kumjibu RR aliyesemakuwa mwanaume ukimnyima anatafuta na nlipouliza swali langu nilikuwa na maana ya muda,ni muda gani mnanyimana hadi akatafute nje!! Au ndo ule usemi wa 'settle your differences before going to bed' unakuwa umepitia dirishani?!

Swala la kuwa bikira, naomba nisilijibu.
Peace.
fair enough n am sorry km nimetumia lugha kali ,i ddnt mean to offend you by any means.
samahani sana bibie!
 
Mbu umeona eh! Masikini!

Mzima lakini?

...am ok dear, pole bana....

Mkuu Mbu ukiona lugha za ajabu ajabu kama hizi usisahau jukwaa letu la GUNNERS karibu kule bado tunatolewa jasho jembamba katika dkk ya 72 bado 1-1.

...lol...kaka, nimejipumzisha kidogo na hizo presha,
January tutakuwa pamoja inshaallah.

4 this i apologies man ,samahani sana it wont happen tena wadau.

...Uungwana ni vitendo, pamoja mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kila mtu ana maamuzi yake na namna ya kuhandle mambo,binafsi kamwe cwezi kumwacha mme wangu kwa ajili ya hg never!labda mme wangu anitake kufanya hivyo means awe hanipendi tena!cha kwanza nafukuza hg na nitaongea na huyo bwana anipatie sababu za yy kunidhalilisha hivyo km mie nitakua chanzo kwa namna yoyote nitamsamehe na kuyafanyia kazi mapungufu yangu na kuweka mazingira ya yy kuwa wazi kwangu!km huyo mume hatakua na maelezo ya kutosha nitamshitaki kwa washenga au watu wa karibu km wazazi wake wanisaidi
Google
 
Na kama wewe sio chanzo? N hulka tu ya mumeo akiona wadada wa kazi?

Cantalicia Ubarikiwe
 
Na kama wewe sio chanzo? N hulka tu ya mumeo akiona wadada wa kazi?

Cantalicia Ubarikiwe

Km ni hulka yake itabidi nitafute wazazi wake au watu wazima wanisaidie otherwise ctaleta hg tena naleta house boy au tukae wenyewe bac km tatizo litakosa dawa!ila kiukweli cko tayari kumwacha mme wangu kwa ajili ya hg nitatumia njia yoyote dunian ila co kumwacha.
 
Km ni hulka yake itabidi nitafute wazazi wake au watu wazima wanisaidie otherwise ctaleta hg tena naleta house boy au tukae wenyewe bac km tatizo litakosa dawa!

Kwani usipokua nae hapo ndani hao huko nje nao atawaogopa?
 
Hapo mwenye makosa dada yako kwanini kaweka mfanya kazi mzuri....kosa lingine kwanini wanawake mmekuwa wa vivu sana siku hizi mama zetu walikuwa hawaweki ma house maid wazuri na wenye umri mdogo -ndo mana waliishii kwa usalama...na kama waliweka ma house maid basi walikuwa wako nao sambamba-yani akipiga chenga anaye....wewe unaenda kazini unawacha mali nyumbani mategemeo yake unadhani yatakuwa vipi...Amkeni wanawake eti mmeendelea wakati ndo kila kukicha mnarudi nyuma kuliko mama zetu...siku njema.
 
Km ni hulka yake itabidi nitafute wazazi wake au watu wazima wanisaidie otherwise ctaleta hg tena naleta house boy au tukae wenyewe bac km tatizo litakosa dawa!ila kiukweli cko tayari kumwacha mme wangu kwa ajili ya hg nitatumia njia yoyote dunian ila co kumwacha.

Hakika wewe ni mke mwema ulotoka kwa Bwana.Natamani ningepewa moyo kama wako!
 
Hapo mwenye makosa dada yako kwanini kaweka mfanya kazi mzuri....kosa lingine kwanini wanawake mmekuwa wa vivu sana siku hizi mama zetu walikuwa hawaweki ma house maid wazuri na wenye umri mdogo -ndo mana waliishii kwa usalama...na kama waliweka ma house maid basi walikuwa wako nao sambamba-yani akipiga chenga anaye....wewe unaenda kazini unawacha mali nyumbani mategemeo yake unadhani yatakuwa vipi...Amkeni wanawake eti mmeendelea wakati ndo kila kukicha mnarudi nyuma kuliko mama zetu...siku njema.

Daa Fazaa,naomba kukuuliza uzuri wa mwanamke uko wapi?
 
Back
Top Bottom