Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Naomba tu nikukumbushe tena mimi na wewe ni wachangiaji, kila mtu na hoja yake ila mhusika wa issue ndo muamuzi na huyo ndo mwenye kudetermine kipi ni cha maana kwake ili akichukue na kipi ni useless akiache!!! Unapoona weakness unaruhusiwa kucritisize, usilazimishe kuwa mtizamo wako ndo wa maana sana ilihali sote twategemeana na pia twategemea saana michango ya members wengine!!
Kakondoo potezea!!
Alafu swali lako SIJIBU.