P
pilu unadhani hili ndo tatizo? unafikiri hata akipewa masaa 18 per day tatizo la huyu mwanaume litaisha?
nilimanisha wanakaa siku nyingi bila kukutana kwa tendo la ndoa.
Hio inamfanya awe na kiu kali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
P
pilu unadhani hili ndo tatizo? unafikiri hata akipewa masaa 18 per day tatizo la huyu mwanaume litaisha?
...fab!....hii ni funga mjadala kwenye kesi hii,....Kaunga, ushauri huu ndio unaopaswa kumshauri mdogo wako.
kama si machanga kwako basi natarajia kuona mchango wa maana ambao ni
" balanced" na sio kulalia pande moja.
Tatizo lako unataka michango iwe kama unavyofikiria wewe, nakukumbusha tu kwamba hii sio 1+1 ambapo jibu lake sahihi halibadiliki! Naomba tu nikutaarifu kuwa nitatoa mchango wa maana kama nionavyo mimi japo yaweza kuwa sio conclusive, na siwezi kutoa mchango kama unavyotaka wewe ili uuone wa maana!!! So ukiona kuwa mchango wako ni wa maana saana kuliko ya wengine its up to wewe, pia naomba tu uelewe kuwa hiyo balance unayoitaka wewe kwangu mie haipo completely!
Duh! hii ligi inaenda kungine sasa!!
huwezi kua mvumilivu bila kua na huruma na kiasi.
nilimanisha wanakaa siku nyingi bila kukutana kwa tendo la ndoa.
Hio inamfanya awe na kiu kali.
Mwanaume akinyimwa hawezi kukaa na kungoja....anajitafutia pengine.....ila sio kubaka!
Unakubali kuwa wanaume hawana msimamo katika mapenzi, nini kifanyike kuondoa hii hali/dhana katika karne hii ya ukimwi na magonjwa ya zinaa lukuki?
jamani, kuna wanaume wengine ni wagonjwa wa mahousegirls, hata kama kazi yake ni kusaidia kupika na kufagia sebuleni, ile siku ya kwanza tu kufika home anae, tena atakuwacha wewe mkewe chumbani umelala atajidai anaangalia sijuwi usalama huko nje milango kama imefungwa sawa sijuwi vimepanda vimeshuka, ukifatiilia yuko na hg sebuleni anamla uroda. hivi vitu havina formula tuombe tu vipite mbali.
Mwanaume akinyimwa hawezi kukaa na kungoja....anajitafutia pengine.....ila sio kubaka!
mhhh! hapa ndo imenishinda mimi.:shock:Hako ni kakosa kadogo sana, awe mpole tu, kuna wanawake ambao wanajua kuwa waume zao wanawamega mabinti waliowazaa, i.e binti anamwibia mamake mzazi, na mama anaendela kukomaa katika ndoa!
Huruma namuonea mbakwaji na sio mbakaji.
Hako ni kakosa kadogo sana, awe mpole tu, kuna wanawake ambao wanajua kuwa waume zao wanawamega mabinti waliowazaa, i.e binti anamwibia mamake mzazi, na mama anaendela kukomaa katika ndoa!