Watoto wa kike ninao,Ila jamaa wakati anafanya hivyo alikuwa katika stuation ipi?let say alikuwa kalewa.Jamani Huyu mke akimpeleka polisi mme wake,baadae ataregreat vibaya mno
Naelewa kabinti ndo kavictim,let say jamaa alikuwa kalewa so alifanya hivyo si kwa akili zake.Fikirieni mke akamshitaki jamaa afungwe mvua 30 sijui.Dah AMSAMEHE TU
Watu wengine hovyo sana, actually huyu ameniboa kuliko huyo mbakaji. Nashindwa kuamini kwamba mtu mwenye akili zake timamu anaweza kaa akaandika aliyoandika huyo jamaa.It's truly SAD.Just plain SAD.
Lazima huyu ndio yule mbakaji, au ni potential mbakaji!Sema usemavyo msiwachukuwe watoto wadogo nikuwafanya kuwa mahousegirl wenu! unafikiri angekua above 18 hii thread ingekuja hapa?
Kama wewe unauchungu akija mtt wa less than 16yrs msaidie kivingine na sio kumfanya housegirl mnawatafutia matatizo! badala ya kumwasaidia!
umeuliza maswali ya msingi lkn tumesahau kuhoji haki ya yule house gal!Kaunga sorry for saying this but mara nyingi katika post zako umeonesha jinsi ulivo na hasira dhidi ya wanaume, I hope kua utapomshauri mdogoko utaweka hio hasira pembeni walau briefly... B2T...
Haya ni mambo magumu saana, hasa yanapo husu wanandoa.... Many things have to be taken in consideration kabla mdogo wako hajaamua lolote. Vitu kama wanaishi vipi na mumewe? Ilikuaje mpaka mumewe akalala na huyo house gal? Tabia ya mumewe dhidi ya wanawake wengine (je ni kicheche?)? Attitude ya mumewe baaada ya kufumaniwa... Umri wa ndoa yao... Wana/hawana watoto? Applicability ya nafasi ya huyo mume ndani ya ndoa.... Na most importantly does she still have feelings for the hubby?
Kwahiyo we ukibakwa na mlevi utaona poa tu?
Watu wengine hovyo sana, actually huyu ameniboa kuliko huyo mbakaji. Nashindwa kuamini kwamba mtu mwenye akili zake timamu anaweza kaa akaandika aliyoandika huyo jamaa.It's truly SAD.Just plain SAD.
Watoto wa kike ninao,Ila jamaa wakati anafanya hivyo alikuwa katika stuation ipi?let say alikuwa kalewa.Jamani Huyu mke akimpeleka polisi mme wake,baadae ataregreat vibaya mno
Kama wewe unauchungu akija mtt wa less than 16yrs msaidie kivingine na sio kumfanya housegirl mnawatafutia matatizo! badala ya kumwasaidia!
Lazima huyu ndio yule mbakaji, au ni potential mbakaji!
Kosa ni la watu walio toa ajira, sio yule mwanaume...
Kosa lingine ni kua chini ya miaka 18 (kwa hiyo above 18 ingekua sio kosa)
as says Lizzy, very SAD indeed
hii 'culture' ya kuambiana 'tuyamalize yaishe' kwenye
mambo kama haya ya 'uhalifu' ndio mnachangia kuongeza 'wahalifu wengine zaidi'
'sex offenders' wapo wengi kwenye jamii yetu na tunawaachia tu...
wengine wanakamata vitoto vya kiume halafu yanaishia kimya kimya....
halafu watoto hao wakiwa wakubwa wakiwa gays na kudai haki zao
tunaanza kutoa mapovu...while haya mambo yanapoanzia tunayanyamazia....
Kwanza hapo ana kosa la kubaka,kosa lingine under 18.Jela ipo wazi.Sasa ngoma anapelekwa jela na mkewe.FOR ME CONFLICT OF INTEREST INGEAPLY!Mme jela aisee mimi ningemsamehe kwa kutompeleka polisihapo umechemsha kabisa yaani hata usiendelea kucomment, kubaka ni katabia wengi wao washafanya mara kibao ila ndo unakuta siku hiyo kafumwa sasa ukisema et alikuwa amelewa haingii akili, kwani wakati amelewa si amekutana na wanawake kibao njiani ila anajua fika hata fika kwamba katoto kanaogopa hivyo hakawezi kupinga la sivyo angeparamia mwanamke yoyote huko alikotoka.
umeuliza maswali ya msingi lkn tumesahau kuhoji haki ya yule house gal!
tusikimbilie kuokoa ndoa wakati kuna shambulio la aibu.....huyo jamaa hafai ni mnyama in short ,yaani alishindwa kuomba kwa makubaliano.shameful ipo siku atakubaka hata ww shemeji yake kaunga. pelekeni polisi huyo.
Nimesema nimeboreka na uchangiaji wako and that's that.Nafikiri umeboreka na mengine zaidi sio uchangiaji wangu! kama unauchungu usikibali nyumbani kwako kua na housegirl less than 16yrs.
NARUDIA TENA ACHENI KUWACHUKUA WATOTO WADOGO LESS THAN 16 KWA KISINGIZIO CHA KUWASAIDIA