Zacht
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 1,026
- 2,266
Kamikaze drone ya mrusi lacent kamikaze drone imeendelea kuwa pasua kichwa kwa majeshi ya Ukraine kwa ufanisi wake mkubwa.
Kamikaze hio Imeharibu mzinga huo unafahamika kama M109 self-propelled howitzer uliokuwa na masaada mkubwa kabisa katika uwanja wa vita kwa upande wa Ukraine, uliotolewa na serikali ya marekani kama masaada.