Kamikaze drone ya Russia imeharibu mzinga hatari wa marekani

Kamikaze drone ya Russia imeharibu mzinga hatari wa marekani

Maisha na mziki
.
20230322_121857.jpg
 
Mkuu ,Chungulia hata sekunde 30 uone jinsi kodi za wamarekani zilivyotolewa sadaka.
Hivi wewe umesikia kuhusu ripoti ya CAG au hujasikia. Watanzania wengi bado akili ndogo sana na ndio maana mnakimbia nyuma ya mwenge na mnaona mko sawa kabisa.

Anyway, kichaa hajui kwamba yeye ni kichaa wengine ndio wanamuona.
 
Back
Top Bottom