Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Kuna watu watabisha ila ukweli uwezi semwa kwa kipigo wanachokipata urusi na drone za kamikaze za ukraine.
Hii teknolojia inaonenyesha kuwa na makali sana maana si rahisi kuikamata kama lile bajaji drone la iran.
View: https://www.youtube.com/watch?v=IO4_fzKiycA
View: https://www.youtube.com/watch?v=PADzS8ArePI