samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Weka video clip mkuu?Nimeona video ya mashabiki wa Yanga wakilalamika waamuzi kusikitika namungo kukosa penati ,hii imekaaje au walijua kinachojiri .mhh haya twendeni tutajafika tu
Nimeona video ya mashabiki wa Yanga wakilalamika waamuzi kusikitika namungo kukosa penati ,hii imekaaje au walijua kinachojiri .mhh haya twendeni tutajafika tu
Mkuu ni kweli endapo Charles Edward Manyama angekuwepo uwanjani lile goli lisingefungwa. Ukiangalia hata ile krosi ilitokea upande wa kushoto ambapo yeye alikuwa yupo njeKiukweli nyinyi mashabiki wa utopolo ni tofauti sana na mashabiki wa Mtibwa , Prison , Simba n.k na hapo ndio mnathibitisha yale maneno ya kocha wenu luc.
Mashabiki wa hizo timu nilizotaja pindi timu zao zinapopoteza mechi au kutoa draw huwa wanajikita kuchambua timu zao kuwa zimecheza chini ya kiwango na kulaumu benchi la ufundi kitu ambacho kinaleta faida kwa timu.
Sasa nyinyi badala hata ya kuongelea bao la kwanza la namungo jinsi beki zenu zilivyogeuzwa kiutopolo ili zijirekebishe, mnatafuta sababu kwamba ilipangwa mfungwe. Ile ni clear penat na Kama umeangalia mechi yanga ndio walibebwa maana hata goli lenu mlifunga namungo wakiwa pungufu kwa mchezaji mmoja kukataliwa kuingia kwa muda mrefu mpaka mkafunga goli.
Penati halali haya kwanini waamuzi wasikitike kukosaIlikuwa penati halali au sio halali?
Chura mtakamata nafasi yenu ya tatu sio mda.
pambana na hali yako mkuu. usitafute wa kumfia.Ingekuwa manguruwe, leo hii Haji angebeba screen kuonyesha kwamba Bakari Nondo hakumgusa tapeli Kichuya.
La pili, waamuzi walikuwa na "mzigo" wangefanikisha Yanga kufungwa. Ule mshangao wa kukosa hela.
Swali gani hilo...?Penati halali haya kwanini waamuzi wasikitike kukosa
Kila mtu apambane na hali yakepambana na hali yako mkuu. usitafute wa kumfia.
Mchezaji hawezi ruhusiwa kurudi uwanjani wakati mpira unaendelea hadi usimame,Mkuu ni kweli endapo Charles Edward Manyama angekuwepo uwanjani lile goli lisingefungwa. Ukiangalia hata ile krosi ilitokea upande wa kushoto ambapo yeye alikuwa yupo nje
Hili la mzigo mbona wazi kabisaIngekuwa manguruwe, leo hii Haji angebeba screen kuonyesha kwamba Bakari Nondo hakumgusa tapeli Kichuya.
La pili, waamuzi walikuwa na "mzigo" wangefanikisha Yanga kufungwa. Ule mshangao wa kukosa hela.
Pia, kuna mchezaji mmoja wa Yanga, aliingia ndani kabla ya hiyo penati kupigwa. Bila hata ya kosa la kipa kutoka golini kabla ya kupigwa hiyo penati, hilo kosa la huyo mchezaji, lilistahili kufanya hiyo penati irudiwe!hii ndio maana halisi ya utopolo. nimeongea na mwamuzi anasema alikuwa anajutia makosa ya refa wake. kipa alitoka kabla ya penati kupigwa
Nikajua peke yangu nililiona ilo, nilishangazwa na refa kutomruhusu muda wote uleKiukweli nyinyi mashabiki wa utopolo ni tofauti sana na mashabiki wa Mtibwa , Prison , Simba n.k na hapo ndio mnathibitisha yale maneno ya kocha wenu luc.
Mashabiki wa hizo timu nilizotaja pindi timu zao zinapopoteza mechi au kutoa draw huwa wanajikita kuchambua timu zao kuwa zimecheza chini ya kiwango na kulaumu benchi la ufundi kitu ambacho kinaleta faida kwa timu.
Sasa nyinyi badala hata ya kuongelea bao la kwanza la namungo jinsi beki zenu zilivyogeuzwa kiutopolo ili zijirekebishe, mnatafuta sababu kwamba ilipangwa mfungwe.
Ile ni clear penat na Kama umeangalia mechi yanga ndio walibebwa maana hata goli lenu mlifunga namungo wakiwa pungufu kwa mchezaji mmoja kukataliwa kuingia kwa muda mrefu mpaka mkafunga goli.