Hata wao waliona mkuu ila hawataki kukubali kuwa kocha wao Kaze ni zahera asiyevaa pensi.Nikajua peke yangu nililiona ilo, nilishangazwa na refa kutomruhusu muda wote ule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wao waliona mkuu ila hawataki kukubali kuwa kocha wao Kaze ni zahera asiyevaa pensi.Nikajua peke yangu nililiona ilo, nilishangazwa na refa kutomruhusu muda wote ule
Nadhan,waamuzi wa lile pambano la jana waliumia sana jana Namungo kukosa penalt,nano ata Mo kafurahia sana yale matokeo since yesterday anapost upupu.Ingekuwa manguruwe, leo hii Haji angebeba screen kuonyesha kwamba Bakari Nondo hakumgusa tapeli Kichuya.
La pili, waamuzi walikuwa na "mzigo" wangefanikisha Yanga kufungwa. Ule mshangao wa kukosa hela.
Ilikuwa ni halal japo mie ni yangaIlikuwa penati halali au sio halali?
Chura mtakamata nafasi yenu ya tatu sio mda.
Hearsay... Nikajua unakuja na hiyo clip kumbe nawe porojo tu.Nimeona video ya mashabiki wa Yanga wakilalamika waamuzi kusikitika namungo kukosa penati ,hii imekaaje au walijua kinachojiri .mhh haya twendeni tutajafika tu
Nasubiri "Kipyenga cha mwisho" nione uchambuzi.Pia, kuna mchezaji mmoja wa Yanga, aliingia ndani kabla ya hiyo penati kupigwa. Bila hata ya kosa la kipa kutoka golini kabla ya kupigwa hiyo penati, hilo kosa la huyo mchezaji, lilistahili kufanya hiyo penati irudiwe!
Tatizo hakuna uwiano wa moja kwa moja baina ya uwezo wa wachezaji wa utopolo na kile mashabiki wa uto wanachokitarajiaPira carpet la Yanga bado sana. Wakipiga pass tatu tu huku nyuma wanaanza kutetemeka na confidence ya kucheza mpira huo hawana.
Sawa mkuu Samboko, asante kwa kunikumbushaMchezaji hawezi ruhusiwa kurudi uwanjani wakati mpira unaendelea hadi usimame,
Angalia huyo mchezaji wa Yanga, kulia. Ameingia ndani kabla ya kupigwa mpira!wasisahu na kipa wao kutoka kweny mstari kabla mpira hujapigwa
VRA ikija bongo hawa simba na yanga watailoga isifanye kazi maana kuchukua ubingwa ni ndoto, wanabebwa sanaaAngalia huyo mchezaji wa Yanga, kulia. Ameingia ndani kabla ya kupigwa mpira! View attachment 1633995
VRA ikija bongo hawa simba na yanga watailoga isifanye kazi maana kuchukua ubingwa ni ndoto, wanabebwa sanaa
Kama wewe ni muangaliaji mpira mzuri wa ligi za ndani utakua umenielewa, staki kubishana na weweSio kwa Simba.
Simba wanacheza mpira,yanga wanacheza mieleka,VAR ikija mtasingizia Simba wanabebwa maana kwa sasa wananyimwa penalty nyingi sana.
Kwa akili za kijinga tu kama zako ndio unaweza kuamini wachezaji kama Luis,Chama,na Morison hawana uwezo eti Simba inabebwa.
Ni watu mnaofikiri mpira ni mieleka ndio mna mawazo kama wewe
Weka hiyo video ya Kamisaa tuione, kuna machizi wanasema pia Sarpong alishika kichwa kama Kamisaa!!!Nimeona video ya mashabiki wa Yanga wakilalamika waamuzi kusikitika namungo kukosa penati ,hii imekaaje au walijua kinachojiri .mhh haya twendeni tutajafika tu
Uliangalia mpira mkuu? Ile ni penati halali haina ubishi. Haikua penati ya kupewa tuNimeona video ya mashabiki wa Yanga wakilalamika waamuzi kusikitika namungo kukosa penati ,hii imekaaje au walijua kinachojiri .mhh haya twendeni tutajafika tu
Nimeiangalia tena ile penati, kwa sheria za upigaji penati ilitakiwa irudiwe, kila wa yanga alitoka kwenye mstari ma kusogea mbele, haikua sahihi.