Kamisaa kashtuka sana Namungo kukosa penati

Ingekuwa manguruwe, leo hii Haji angebeba screen kuonyesha kwamba Bakari Nondo hakumgusa tapeli Kichuya.

La pili, waamuzi walikuwa na "mzigo" wangefanikisha Yanga kufungwa. Ule mshangao wa kukosa hela.
Nadhan,waamuzi wa lile pambano la jana waliumia sana jana Namungo kukosa penalt,nano ata Mo kafurahia sana yale matokeo since yesterday anapost upupu.
 
Nimeona video ya mashabiki wa Yanga wakilalamika waamuzi kusikitika namungo kukosa penati ,hii imekaaje au walijua kinachojiri .mhh haya twendeni tutajafika tu
Hearsay... Nikajua unakuja na hiyo clip kumbe nawe porojo tu.
 
Pia, kuna mchezaji mmoja wa Yanga, aliingia ndani kabla ya hiyo penati kupigwa. Bila hata ya kosa la kipa kutoka golini kabla ya kupigwa hiyo penati, hilo kosa la huyo mchezaji, lilistahili kufanya hiyo penati irudiwe!
Nasubiri "Kipyenga cha mwisho" nione uchambuzi.
 
Pira carpet la Yanga bado sana. Wakipiga pass tatu tu huku nyuma wanaanza kutetemeka na confidence ya kucheza mpira huo hawana.
 
sie utopolo hatushindwa mechi hata moja tuna pwenti 25 hao Simba twamefungwa mechi 2 wana pwenti 23. hiyo ni hujuma
 
Pira carpet la Yanga bado sana. Wakipiga pass tatu tu huku nyuma wanaanza kutetemeka na confidence ya kucheza mpira huo hawana.
Tatizo hakuna uwiano wa moja kwa moja baina ya uwezo wa wachezaji wa utopolo na kile mashabiki wa uto wanachokitarajia

Kichwani mwao wanaona wana timu bora sana wakati uhalisia ni tofauti kabisa
Ndio maana hawaishi kuhisi kuhujumiwa kila wakati wanapokosa matokeo tarajiwa
 
Kwanza mechi za Tz hazichezwi dk 90......ile mechi ya Namungo na Yanga ilikuwa na delays kibao ila assistant referee akaongeza only 2 minutes,mpira wa Tz nikichefuchefu
 
Sio kwa Simba.

Simba wanacheza mpira,yanga wanacheza mieleka,VAR ikija mtasingizia Simba wanabebwa maana kwa sasa wananyimwa penalty nyingi sana.

Kwa akili za kijinga tu kama zako ndio unaweza kuamini wachezaji kama Luis,Chama,na Morison hawana uwezo eti Simba inabebwa.

Ni watu mnaofikiri mpira ni mieleka ndio mna mawazo kama wewe
VRA ikija bongo hawa simba na yanga watailoga isifanye kazi maana kuchukua ubingwa ni ndoto, wanabebwa sanaa
 
Kama wewe ni muangaliaji mpira mzuri wa ligi za ndani utakua umenielewa, staki kubishana na wewe
 
Nimeona video ya mashabiki wa Yanga wakilalamika waamuzi kusikitika namungo kukosa penati ,hii imekaaje au walijua kinachojiri .mhh haya twendeni tutajafika tu
Weka hiyo video ya Kamisaa tuione, kuna machizi wanasema pia Sarpong alishika kichwa kama Kamisaa!!!
 
Nimeona video ya mashabiki wa Yanga wakilalamika waamuzi kusikitika namungo kukosa penati ,hii imekaaje au walijua kinachojiri .mhh haya twendeni tutajafika tu
Uliangalia mpira mkuu? Ile ni penati halali haina ubishi. Haikua penati ya kupewa tu
 
Nimeiangalia tena ile penati, kwa sheria za upigaji penati ilitakiwa irudiwe, kila wa yanga alitoka kwenye mstari ma kusogea mbele, haikua sahihi.
 
Mateja hata uibebeje timu wao huwa wanaona wanaonewa tu.

Watu wengi wanaojiita washabiki wa Yanga huwa hawaangalii mpira ila wakikutana na mateja wa utopolo huko insta huwa wanaamini kinachosemwa na mateja hao ndipo wanakuja humu kuendeleza malalamiko huku ukweli ukiwa wazi kabisa wa jinsi walivyobebwa
Nimeiangalia tena ile penati, kwa sheria za upigaji penati ilitakiwa irudiwe, kila wa yanga alitoka kwenye mstari ma kusogea mbele, haikua sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…