Mungu Tusamehe Afrika
Senior Member
- Jan 18, 2022
- 139
- 204
Habari,
Napenda kukujulisha Waziri wa Ardhi kuwa tangu amefika huyu kamishina hapa Mkoani Rukwa hana tija yoyote kwani amekuwa ni mbabaishaji na mtu wa kusafiri sana kila leo.
Migogoro mingi ya ardhi anashindwa kuitatua na pia amekuwa na tabia ya kutolipa madeni ya ofisi yake kwa wanaomdai kwa kuwazungusha njoo kesho mara nimesafiri huku akijua kabisa wananchi wanahitaji malipo yao waweze kuendeleza maisha yao.
Kuna madeni ya tangia mwaka jana hajalipa kila siku anazungusha tu lakini safari kwake haziishi kila leo kwa kutumia pesa za ofisi hiyohiyo inayodaiwa.
Hata watumishi tu wa ofisi yake wanalalamika juu ya tabia zake kwani amekuwa hajali watu wanapomfanyia kazi mfano mzuri ni fundi aliye mfungia mfumo wa kisaini kwa kidole hajamlipa kwa muda mrefu sana.
Safisha mtu huyu haraka ni kikwazo hata urasimishaji maeneo mkoa wa Rukwa hauganikiwi kwaajili ya mtu huyu.
Kazi njema.