Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Ajililie dhidi ya nini... nyie watu mna maneno ya karaha sana. Mnatesa watu halafu mnasema wajililie wao na koo zao.Siro umri umeenda anaendelea kustaafu kwa neema,
Jililie wewe na ukoo wako
Sukuma gang imekomeshwa[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Kingai ni mfano wa kuigwa ndani ya serikali hii?
Tukisema hili ni pambo la serikali tunakosea?
Na wakati huo huo, akina Mbowe wanaamini wanazungumza na mtu makini kuhusu maswala ya nchi?
Aiseeee !!!!Kingai kaulaa Naona IGP katoka kanda pendwa tena!
Soon tutasikia wakili Robert kidando yule alikua kiongozi wa jopo la mawakili wa serikali kwenye kesi ya mbowe nae kateuliwa kuwa jaji.
Shimo lipi?Sirro ametupwa shimoni
Wengi hamjui katiba inavyotaka.Sijui ni lini tutakuwa serious? Sitaki kuamini kwamba DCI anaweza kuteuliwa ghafla bila kuwa imeandaliwa kwa muda. Sasa kama ilikuwa imeshaandaliwa, mantiki ya kumpeleka Kigoma ilikuwa nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa vijana wa hovyo sana mkuu!Pole ya nini? Bado yuko kwenye ulaji
Shinda uchaguzi afu umchague Mumeo kuwa DCI, Acha kuwapangia wenye mamlaka nani wamteue.Hapa samia amechemka kingai huyu asiyefahamu DPO loooo hii ni fadhila kwa aliyoyafanya kwa mbowe.
Siyo hivyo mkuu! Wanahisi kuondoka kwa Siro ni kupewa adhabu ili chadema istawi!Ubalozi ni cheo kikubwa sana, tena sana, afu 90% ya mabalozi ni Askari, ni vyeo hasa vya kijeshi, pia 80% ya watumishi wa balozi zetu ni TISS.
Ukiwa balozi unakuwa chini ya Wizara ya Mambo ya Nje, na ukiwa IGP unakuwa chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani.
Balozi anaonekana mdogo kwenu kwakuwa mnahisi Msafara mkubwa ndio ukubwa wa mtu fulani.
Kwani mbaya wenu si alishakufa?Ni wakati wa kurudi kwenye maisha yetu ya zamani, ya kuishi kwa tahadhari. Kuna kila dalili ya watu kuanza tena kupotea katika mazingira ya kutatanisha.
Sukuma gang imekomeshwa ee?Eti of all the people Kingai anateuliwa kuwa DCI. !??
Tena akiwekwa mtu ambae bavicha hawampendi!ni JF tu ndiko barozi anaonekana ni mtu mdogo,kisa wanawekwa watu kama pole pole.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sukuma gang wanakomeshwa ee?Sijawahi ona ujinga kama huu duniani. MUNGU ATUSAIDIE!!
Kwani mbaya wenu si alishakufa nyie vipi?Yaani mtu anatolewa U IGP anapewa ubalozi, hata kupumzika hakuna. Kingai naona ulisuka vizuri kesi ya Mbowe wakubwa wamekuona. Nchi hii ngoja yaanze ya Sri lanka shenzi type.
Kwa mtazamo wa machadema hiyo ni demo!Hyo ni demo tu, we ubaloz unaenda kuongoza au kusimamia WaTu wangap??
Ile kesi ilikuwa sio ya kubambika ila iliisha kwa shinikizo za mabeberuHongera kwa kingai, alidharauliwa sana kwenye ile kesi.
Alietupwa ni nani?CCM watu wabaya sana... Wanakutumia halafu wanakutupa jalalani bila hata ya kugeuza sura zao kuangalia umeangukiaje huko jalalani.
Kumbe Mbowe alisulubiwa na mama?Kingai atakuwa amepewa asante kwa kazi ya kijinga aliyopewa na mama ya kumsulubu Mbowe
Sana aliwasurubu sana machadema bila huruma!Sirro alitumika sana wakati wa utawala wa kidhalimu wa Magufuli, sasa akale mali alizochuma kwa dhuluma.
Hamna lolote kama lipi?Usimtie moyo Simon kesha pigwa za uso huo ubalozi hamna lolote hapo