Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI

Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI

Siro umri umeenda anaendelea kustaafu kwa neema,

Jililie wewe na ukoo wako
Ajililie dhidi ya nini... nyie watu mna maneno ya karaha sana. Mnatesa watu halafu mnasema wajililie wao na koo zao.

MLAANIWE!
 
Hivi Kingai ni mfano wa kuigwa ndani ya serikali hii?

Tukisema hili ni pambo la serikali tunakosea?

Na wakati huo huo, akina Mbowe wanaamini wanazungumza na mtu makini kuhusu maswala ya nchi?
Sukuma gang imekomeshwa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kingai kaulaa Naona IGP katoka kanda pendwa tena!

Soon tutasikia wakili Robert kidando yule alikua kiongozi wa jopo la mawakili wa serikali kwenye kesi ya mbowe nae kateuliwa kuwa jaji.
Aiseeee !!!!
 
Sirro ametupwa shimoni
Shimo lipi?

[emoji23][emoji23][emoji23]Jamani, unakuta mtu anapiga miayo ila anamcheka Siro mwenye kila kitu eti katupwa shimoni!

Yule umri umeenda anajiandaa kusataafu na atastaafu na ubalozi wake juu, na si ajabu hadi anafikisha miaka 80 anaendelea kuramba teuzi!
 
Sijui ni lini tutakuwa serious? Sitaki kuamini kwamba DCI anaweza kuteuliwa ghafla bila kuwa imeandaliwa kwa muda. Sasa kama ilikuwa imeshaandaliwa, mantiki ya kumpeleka Kigoma ilikuwa nini?
Wengi hamjui katiba inavyotaka.

Vyeo vya ngazi ya URPC anayeteua ni IGP na si rais hivyo kuteuliwa kwa kingai kuwa RPC kigoma rais hajahusika rais akiingilia uteuajinwa RPC moja kwa moja anakuwa kavunja katiba.

Kamisheni kwa maofisa wengi wa jeshi la polisi wanapewa na Rais ila JWTZ ndio wanapewa na Rais.
 
Pole ya nini? Bado yuko kwenye ulaji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa vijana wa hovyo sana mkuu!

Eti anamcheka Siro mwenye kila kitu na yupo kwenye mfereji wa hela
 
Ubalozi ni cheo kikubwa sana, tena sana, afu 90% ya mabalozi ni Askari, ni vyeo hasa vya kijeshi, pia 80% ya watumishi wa balozi zetu ni TISS.

Ukiwa balozi unakuwa chini ya Wizara ya Mambo ya Nje, na ukiwa IGP unakuwa chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani.

Balozi anaonekana mdogo kwenu kwakuwa mnahisi Msafara mkubwa ndio ukubwa wa mtu fulani.
Siyo hivyo mkuu! Wanahisi kuondoka kwa Siro ni kupewa adhabu ili chadema istawi!

[emoji23][emoji23][emoji23]Vijana wa hovyo sana hawa.
 
Yaani mtu anatolewa U IGP anapewa ubalozi, hata kupumzika hakuna. Kingai naona ulisuka vizuri kesi ya Mbowe wakubwa wamekuona. Nchi hii ngoja yaanze ya Sri lanka shenzi type.
Kwani mbaya wenu si alishakufa nyie vipi?
 
Kingai atakuwa amepewa asante kwa kazi ya kijinga aliyopewa na mama ya kumsulubu Mbowe
Kumbe Mbowe alisulubiwa na mama?

Si mlisema jiwe ndio akikuwa mbaya wenu na kwamba sasa mnapumua?
 
Sirro alitumika sana wakati wa utawala wa kidhalimu wa Magufuli, sasa akale mali alizochuma kwa dhuluma.
Sana aliwasurubu sana machadema bila huruma!
Na Kingai ndio huyo kaula., sijui ndio matokeo ya mazungumzo ya Mbowe na hangaya?

[emoji23][emoji23][emoji23]Sukuma gang imekomeshwa
 
Back
Top Bottom