Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI

Kwa Sirro ni demotion au?
Ubalozi ni cheo kikubwa sana, tena sana, afu 90% ya mabalozi ni Askari, ni vyeo hasa vya kijeshi, pia 80% ya watumishi wa balozi zetu ni TISS.

Ukiwa balozi unakuwa chini ya Wizara ya Mambo ya Nje, na ukiwa IGP unakuwa chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani.

Balozi anaonekana mdogo kwenu kwakuwa mnahisi Msafara mkubwa ndio ukubwa wa mtu fulani.
 
Kiutendaji hakuna kitakacho badilika.
 
Hongera kwa IGP Mpya!
Ingawa kwa Katiba yetu ile ile hakuna jipya,huenda huyo ataleta mabadiliko katika Jeshi la Polisi.Labda atalifanya kuwa chombo Cha kutumikia wananchi badala ya kutumikia Chama pendwa kwa maslahi yake.
Itapendeza kama atalifumua Jeshi la Polisi na kuliunda upya kama huko nyuma baadhi ya wadau walivyopendekeza!
 
Kumbe kuwa barozi lazima uwe askari au wasiojulikana?
Basi itakuwa hata kale kajamaa kigeugeu(Haraka haraka) kalikopelekwa ubarozi wa Malawi katakuwa ka afwande[emoji1787]
 
Safi sana,Watabiri Chali kama kawaida
 
Hakuna jipya, mΓ ana amekuwepo Hapo Kwa Mda mrefu pia.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hivi Kingai ni mfano wa kuigwa ndani ya serikali hii?

Tukisema hili ni pambo la serikali tunakosea?

Na wakati huo huo, akina Mbowe wanaamini wanazungumza na mtu makini kuhusu maswala ya nchi?
Eti of all the people Kingai anateuliwa kuwa DCI. !??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…