Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
DCI CAMILIUS WAMBURA
Huyu bwana yuko vizuri sana. Nina imani atafanya kazi vizuri. Kila la heri kwake
Huyu bwana yuko vizuri sana. Nina imani atafanya kazi vizuri. Kila la heri kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubalozi ni cheo kikubwa sana, tena sana, afu 90% ya mabalozi ni Askari, ni vyeo hasa vya kijeshi, pia 80% ya watumishi wa balozi zetu ni TISS.Kwa Sirro ni demotion au?
Kiutendaji hakuna kitakacho badilika.Kesho itakuwa or not kesho, sorry i mean leo asubuhi-mchana na siku nzima itakuwa sherehe kwa wale waliokuwa wakiombea hilo libwana mukubwa sirro lihamishwe vitengo kama sio kutolewa nyazifa[emoji28][emoji28], kumbe ni usiku na ishapia saa6 ni siku mpya[emoji28].
Ngoja waje wazee wa hashtag za nanilii mpya[emoji16][emoji23][emoji23]
Ni wakati wa kurudi kwenye maisha yetu ya zamani, ya kuishi kwa tahadhari. Kuna kila dalili ya watu kuanza tena kupotea katika mazingira ya kutatanisha.Kingai DCI???AMA SIKUANGAKIA VIZURI
Kumbe kuwa barozi lazima uwe askari au wasiojulikana?Ubalozi ni cheo kikubwa sana, tena sana, afu 90% ya mabalozi ni Askari, ni vyeo hasa vya kijeshi, pia 80% ya watumishi wa balozi zetu ni TISS.
Ukiwa balozi unakuwa chini ya Wizara ya Mambo ya Nje, na ukiwa IGP unakuwa chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani.
Balozi anaonekana mdogo kwenu kwakuwa mnahisi Msafara mkubwa ndio ukubwa wa mtu fulani.
Safi sana,Watabiri Chali kama kawaidaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya mabadiliko katika Jeshi la Polisi.
Aliyekuwa IGP Simon Sirro ateulikuwa kuwa balozi nchi Zimbambwe.
Wakati huo huo amefanya mabadiliko ya Makamanda wengine kama inavyoonesha hapa chini
[emoji116][emoji116]
View attachment 2297191View attachment 2297189
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 20 Julai, 2022 amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-
Amempandisha cheo Kamishna wa Polisi Camillus Mongoso Wambura, aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kuwa Inspekta Jenerali na Mkuu wa Jeshi la Polisi.
Amemteua aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Simon Nyakoro Sirro kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe.
Amempangia kituo Balozi Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zambia.
Amemteua Dkt. Suleiman Haji Suleiman kuwa Balozi. Dkt. Suleiman ni Afisa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Uteuzi huu umeanza tarehe 19 Julai, 2022 na uapisho utafanyika leo tarehe 20 Julai, 2022 saa 05:00 Asubuhi Ikulu, Chamwino Dodoma.
Wakati huo huo, Mhe. Rais amewateua wafuatao kushika nyadhifa mbalimbali kwenye Jeshi la Polisi: -
Amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Liberati Sabas Materu kuwa Kamishna wa Fedha na Logistiki. Anachukua nafasi ya (CP) Hamad Khamis Hamad.
Amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Hamad Khamis Hamad kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar. Anachukua nafasi ya Kamishna wa Polisi Awadhi Juma Haji.
Amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Awadhi Juma Haji kuwa Mkurugenzi wa Operesheni Makao Makuu;
Amempandisha Cheo Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Faustine Constantine Shilogile kuwa Kamishna wa Polisi Jamii. Anachukua nafasi ya CP Mussa Ali Mussa ambaye atapangiwa majukumu mengine.
Amempandisha Cheo Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Ramadhan Hamisi Kingai na kumteua kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI).
Hakuna jipya, màana amekuwepo Hapo Kwa Mda mrefu pia.Hongera kwa IGP Mpya!
Ingawa kwa Katiba yetu ile ile hakuna jipya,huenda huyo ataleta mabadiliko katika Jeshi la Polisi.Labda atalifanya kuwa chombo Cha kutumikia wananchi badala ya kutumikia Chama pendwa kwa maslahi yake.
Itapendeza kama atalifumua Jeshi la Polisi na kuliunda upya kama huko nyuma baadhi ya wadau walivyopebdekeza!
Eti of all the people Kingai anateuliwa kuwa DCI. !??Hivi Kingai ni mfano wa kuigwa ndani ya serikali hii?
Tukisema hili ni pambo la serikali tunakosea?
Na wakati huo huo, akina Mbowe wanaamini wanazungumza na mtu makini kuhusu maswala ya nchi?
Pole pole amenyamazishwa Kisiasa alikuwa anapiga makele mengi. Wamempa Ubalozi akanyamaze na wanyasa wenyeji wake. Lohhh majangaa kweli.Pole pole yuko Malawi
Hakuna haja ya Pole kwa sababu sheria ya masurufu inayopendekezwa na Dr Nchemba bado haijapitishwa.Oh hongera na Pole yake Sirro