Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI

hii ya Sirro ni kama aMepunzika
 
Kingai kuwa DCI inafikirisha sana
 
Taarifa haijasema kama ametenguliwa...tofaut na ilivyokuwa kwa Ernest Mangu
Mshahara mwingine upi. Hatuna utaratibu wa two salary. MTU mwenyewe amepunzishwa tu hapo. Hapo baadae Kongo kwenye migogoro unaweza ukapelekwa huko ukahakikishe waTanzania wanaoishi wanakuwa salama vinginevyo unasuuzwa.

Kwa teuz za Maafisa wa jeshi zinashabihisana Sana kuwatumia nchi zenye migogoro na vita Kwa kuwa wanajua mbinu. Na Sirro is very good in that.
 
Binafsi nilimkubali sana Sirro.
Yale ya ardhi yamejirudia tena.
Hangaya uwe macho.
 
Hongera SANA NDUGU
 

ni JF tu ndiko barozi anaonekana ni mtu mdogo,kisa wanawekwa watu kama pole pole.
 
ubalozi alioupata siro ni cheo kikubwa na heshima kubwa kuliko IGP

Kwa hiyo Mzee Sirro kwa sasa ako na hadhi kubwa sana kitaifa na kimataifa kama ilivyo kwa Balozi Chaupole Chakubanga wa huko Mzuzu - Nyasalank...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…