Kamishna Humprey Polepole: Kura iwe ya siri

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
5,597
Reaction score
1,013
Akizungumza katika kipindi cha kipima joto kinachorushwa na Itv kamishna wa tume ya katiba Humprey polepole amependekeza kura iwe ni jambo la siri. Amesema ni jambo la kushangaza kwa wale wanaotetea kura ya wazi kwa kujaribu kulinganisha kura ya kupitisha bajeti, ambayo inakuwa ya wazi na suala zito la KATIBA. Mjadala unaendelea tuendeleekutazama ...
 
Na ya kura ya maoni basi iwe ya wazi.Na hata chaguzi zinazofuata tuwe tunasimama nyuma ya mgombea tunayemtaka
 
Haya matatizo yote kaleta jk na wabunge wa ccm na tulisema mchakato Tanguy mwanzo umekosewa kulazimisha bungela jmt kuwa bunge la katiba hatutapata katiba na pesa imetumika bure jk hii nchi ataaiacha maskini
 
Na ya kura ya maoni basi iwe ya wazi.Na hata chaguzi zinazofuata tuwe tunasimama nyuma ya mgombea tunayemtaka

Unajua hawa CCM wanapambana na upuuzi huo kana kwamba hiyo katiba ni chama chao. Jamani,huwa wakati mwingine nakasirika kiasi kwamba ningekuwa na uwezo ningewapotezea mbala hawa wasiyotambua umuhimu wa katiba hiyo kwa mstakabari wa nchi na wao kupeleka uchama.
 
Napenda kufahamu huyu polepole maana ni kichwa sana..nimemwangalia mara nyingi akichambua mambo haya ya katiba yuko vizuri sana.. Napenda nimfahamu, ana elimu gani, mbona ni mdogo lakini anaonekana ni kijana mwenye msimamo sana..
 
Dogo ana kichwa huyo balaaa yaani ukikikata kile kichwa ukamvika lusinde lazima achizike mtamkuta viwanja vya bunge akiwa naked mwili wake'tumbo na akili vinaendana sa sa umpe kichwa cha pôle pôle anawehuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…