Akizungumza katika kipindi cha kipima joto kinachorushwa na Itv kamishna wa tume ya katiba Humprey polepole amependekeza kura iwe ni jambo la siri. Amesema ni jambo la kushangaza kwa wale wanaotetea kura ya wazi kwa kujaribu kulinganisha kura ya kupitisha bajeti, ambayo inakuwa ya wazi na suala zito la KATIBA. Mjadala unaendelea tuendeleekutazama ...