Kamishna Jenerali wa Magereza akabidhiwa Detention Centre na ICTR Arusha

Kamishna Jenerali wa Magereza akabidhiwa Detention Centre na ICTR Arusha

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Hii imefanyika Feb 23,2023.

International Criminal Tribunal for Rwanda ambayo imemaliza kazi yake, imekabidhi Detention Centre kwa Kamishna Jenerali, kuitumia anavyopenda. Ni Detention Centre ya watu mia moja(100).

Kila chumba kina choo. Lipo jiko pale. Haiitwi jela. Inaitwa Detention Centre. Inaweza kutumika labda kama VIP Detention Centre.

Ipo picha hapa lakini,alas,sijui jinsi ya kuitoa kwenye WhatsApp na kuiweka JF.

Nilikutana na huyu jamaa. Yeye ni Injinia. Anasema yeye mwenyewe ndie sliyesimamia ujenzi wa hii Detention Centre. Anasema the place is quite comfortable.
 
Magereza yanapaswa kuwa hivo yote nchini, na vituo vya polisi mahabusu kunapaswa kuwa na vyoo sio kama panavonuka sasa
 
Picha ziko wapi sasa! Au tunatakiwa tutengeneze wenyewe vichwani mwetu?
 
Back
Top Bottom