Kamishna Mkuu TRA Dr. Edwin P. Mhede, awanasa Wachina waliotaka kumpa rushwa ya dola 5,000/=. Wahukumiwa kulipa Tsh. Milioni 1 kila mmoja

hivi hili si shtaka la uhujumu uchumi?watakwenda ndani then wataambiwa walipe deni warudi mtaani,au yatokee kama yale ya malkia wa tembo kuua tembo wetu na kafaini kadogo
 
Hata mimi kwenye dili la kukuokolea bilioni 1.375 uje unipe milioni kumi tu lazima unitoe kwenye reli kama ilivyokuwa kwa huyo Kamishna.
 
Dola 5000 tu inashikiwa bango utadhani ni kitu gani. Hiyo si hela ya kununua IST moja tena used in Japan.
Hebu tuendelee na ule uzi wetu wa wale wajinga walioiba 1.3 B na kukimbilia Mbagala.
 
Yaan umhonge Kamishna Mkuu TRA Tsh 10M, akuruhusu ukwepe Billions?

Hata Mie Mzalendo uchwara sikubali

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo wachina walitaka wampumulie kamishna na nchi pia. Halafu kule Mafinga wangeenda kutamba kwenye ofisi ya kanda kwamba kamishna wenu tushampumulia itakua ninyi vibarua?
 
Macho ndogo hawa sio WEMA SANA KWETU. Ila hapa wakijaribu kupiga watu viboko itakula kwao mazima.
 
Mapatano kwanza briefcase baadaye, tena siyo ofisini, huko pembozini mwa mji mbali na wanoko. Wachina hawalijui gemu hawa 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…